Thursday, April 4, 2013

HAWA ndo WASANII SITA (6) wa BONGO FLEVA WENYE KUHESHIMIKA SANA TANZANIA.



Top Talent
okana na utafiti uliofanywa na timu nzima ya www.thechoicetz.com, imebaini wasanii 6 upande wa muziki wa kizazi kipya wanaoheshimika sana Tanzani katika jamii.Vigezo vilivyo zingatiwa katika utafiti huu ni pamoja na kutobaini skendo za ajabu ajabu kwa hawa wasanii,pia hutumiwa katika utoaji nasaa mbalimbali katika jamii pia wanajiheshimu katika mambo yao kwa ujumla.
                                                             1.LADY JAY DEE

Mwanadada JIDE ama binti machozi ameweza kuongelewa sana kama msanii anayeheshimika sana tanzania kutokana na idadi kubwa ya watu walio hojiwa kumtaja ykipya

Jeye kama ndo mwana muziki mwenye kuheshimika sana tanzania kwa upande wa muziki wa kizazi


                                                                           2.PROF
Jeye kama ndo mwana muziki mwenye kuheshimika sana tanzania kwa upande wa muziki wa kizazi

                                                                                                                                                                    Prof J naye hakuwa nyuma katika kutajwa na idadi kubwa,Prof j kama muhasisi mkubwa wa huu muziki wa kizazi kipya anaheshimika sana kutokana na mchango wake mkubwa katika hii gemu bila ya kuwa na sifa mbaya zinazo weza kumchafulia heshima yake

3.FID, Q 
Huyu ni msanii aliyezungumziwa kuwa ni mpole sana mkinywa na hufanya kazi zake kwa umakini mkubwa,Ni mtu apendaye kufikiri jambo kwa umakini sana kabla ya kulitenda,Pia kazungumziwa sana na idadi kubwa ya walio hojiwa

4.A.Y
AY kati ya mchakalikaji mkubwa na mpenda maendeleo katika kazi zake, ni kijana anaye ibeba nembo ya Tanzania katika ngazi ya kimataifa,Kujiheshimu kwake na kuto kuwa na skendo pamoja na kuchakalika kwake kunamfanya aonekane kuwa mtu wa kuigwa kwa vijana wengine.

5.MWANA FA
Binamu ama waweza sema pacha wa A.Y kutokana na kuwa na urafiki wa karibu sana na wa muda mrefu na A.Y.mWANA FA pia katajwa kwa idadi kubwa ya wadau kama mtu anayeheshimika sana nchini hasahasa katika nyanja hii ya muziki wa kizazi kipya.

6. JUMA NATURE
Top Talent

No comments:

Post a Comment