Tuesday, May 14, 2013

GODBLESS LEMA ASAKWA NA POLISI WA U.K KWA KOSA LA KUMBAKA FLORA BAHATI LYMO



Leo  asubuhi  tuliweka  habari ya  mwanadada Flora Bahati Lymo anayedai kubakwa  na  mbunge.....

Taarifa  hiyo  ilinukuliwa  katika  gazeti la Uwazi, toleo la leo tarehe 14 may 2013....Ni taarifa  iliyozua  utata mkubwa. 
Unaweza kuisoma habari hiyo kwa kubofya hapa  

Kwa mdomo wake mwenyewe, mwanamke huyo ameamua kufunguka   mchana  huu na  kudai  kuwa  mbunge  huyo  niGODBLESS LEMA.....

Ifuatayo  ni  kauli yake  aliyoitoa  katika  blog yake..


"GODBLESS LEMA MBUNGE WA CHADEMA ARUSHA 'WANTED IN UK FOR SEX*AL ASSAULT(UBAKAJI) BY POLICE IN UK -LONDON" ....

FLORA LYIMO WISH FOR HER BIRTHDAY MWAKA HUU 2013 IS JUSTICE "TUKIO HILI LILIFANYIKA ALIPOKUJA LONDON KUFUNGUA TAWI LA CHADEMA LONDON 2012'...


LEMA BAADA YA TUKIO ALIKIMBIA LONDON NA ALIPOTAFUTWA NA POLICE HAKUPATIKANA KWA SABABU YA MAJINA ALOSAFIRIA KUTOKUWA NA UHAKIKA NA VILE VILE HAIKUJULIKANA ALIKOFIKIA WAKATI ALIPOKUJA LONDON '.....


 NA TANGU SIKU YA TUKIO UCHUNGUZI UNAENDELEA NA SASA YUPO WANTED IN UK' JE TANZANIA MNALAKUSEMA KUHUSU HUYU MBAKAJI '?....


NAJUA WENGI WANAMTETEA KWA PALE HAWAJUI UKWELI WA TUKIO HILI NA MPAKA WATAKAPO INGIA MILANGO YA MAHAKAMA NDIYO WATAKAPOJUA NI NINI HASA WANATETEA '....


IKIWA HUNA LAKUSEMA BORA UNYAMAZE NA KUSOMA KIMNYAA" ASANTENI KWA WALE MNAOPINGA UBAKAJI NA UONEAJI WA KINA MAMA ULIMWENGUNI NA HASA TANZANIA AMBAPO WENGI HAWAJUI NINI MAANA YA UBAKAJI....


NA WENGI WANASEMA HAWAWEZI KUSEMA KWA MTU YOYOTE KWANI WANAJIONEA AIBU.MSIJIONEE AIBU 'SIYO KOSA LAKO KUBAKWA 'ALIE KUBAKA NDO WAKUJIONEA AIBU NA KUTANGAZWA DUNIA NZIMA IMFAHAM"

ZITTO KABWE APIGWA KIBUTI LIVE MTANDAONI NA DEMU WAKE ( LOVENESS DIVA)



Waswahili  husema  ..."Mapenzi  ni UCHIZI"... 
Hili  ndo  tunalolishuhudia  kwa  Mh Zitto  na Manzi  wake MAPEPE ( Loveness Diva )  ambaye  ameamua  kumtema  na  kupeleka  penzi  lake  kwa Prezzo wa Kenya....

Kwanza  ulianza  ujumbe  wa  kumpongeza  Prezzo  na  ahadi  ya  kumtema  RAIS WETU MTARAJIWA....

 Baaye  kikafuata  KIBUTI  kwa  mh. Mbunge.

BAADA YA KUCHANGANYA KWA KIKOMBE: HAYA NDIO MAISHA YA BABU WA LOLIONDO KWA SASA.




BABU AKIWA NDANI YA NYUMBA YA KISASA.
AKIWA NJE YA NYUMBA HIYO.
Hii ni nyumba aliyokuwa anaishi Babu Ambi kabla Dozi ya Kikombe haijachanganya.