Leo asubuhi tuliweka habari ya mwanadada Flora Bahati Lymo anayedai kubakwa na mbunge.....
Taarifa hiyo ilinukuliwa katika gazeti la Uwazi, toleo la leo tarehe 14 may 2013....Ni taarifa iliyozua utata mkubwa.
Unaweza kuisoma habari hiyo kwa kubofya hapa
Kwa mdomo wake mwenyewe, mwanamke huyo ameamua kufunguka mchana huu na kudai kuwa mbunge huyo niGODBLESS LEMA.....
Ifuatayo ni kauli yake aliyoitoa katika blog yake..
"GODBLESS LEMA MBUNGE WA CHADEMA ARUSHA 'WANTED IN UK FOR SEX*AL ASSAULT(UBAKAJI) BY POLICE IN UK -LONDON" ....
FLORA LYIMO WISH FOR HER BIRTHDAY MWAKA HUU 2013 IS JUSTICE "TUKIO HILI LILIFANYIKA ALIPOKUJA LONDON KUFUNGUA TAWI LA CHADEMA LONDON 2012'...
LEMA BAADA YA TUKIO ALIKIMBIA LONDON NA ALIPOTAFUTWA NA POLICE HAKUPATIKANA KWA SABABU YA MAJINA ALOSAFIRIA KUTOKUWA NA UHAKIKA NA VILE VILE HAIKUJULIKANA ALIKOFIKIA WAKATI ALIPOKUJA LONDON '.....
NA TANGU SIKU YA TUKIO UCHUNGUZI UNAENDELEA NA SASA YUPO WANTED IN UK' JE TANZANIA MNALAKUSEMA KUHUSU HUYU MBAKAJI '?....
NAJUA WENGI WANAMTETEA KWA PALE HAWAJUI UKWELI WA TUKIO HILI NA MPAKA WATAKAPO INGIA MILANGO YA MAHAKAMA NDIYO WATAKAPOJUA NI NINI HASA WANATETEA '....
IKIWA HUNA LAKUSEMA BORA UNYAMAZE NA KUSOMA KIMNYAA" ASANTENI KWA WALE MNAOPINGA UBAKAJI NA UONEAJI WA KINA MAMA ULIMWENGUNI NA HASA TANZANIA AMBAPO WENGI HAWAJUI NINI MAANA YA UBAKAJI....
NA WENGI WANASEMA HAWAWEZI KUSEMA KWA MTU YOYOTE KWANI WANAJIONEA AIBU.MSIJIONEE AIBU 'SIYO KOSA LAKO KUBAKWA 'ALIE KUBAKA NDO WAKUJIONEA AIBU NA KUTANGAZWA DUNIA NZIMA IMFAHAM"