Sunday, April 7, 2013

HIZI NI PICHA ZA PARTY YA KUMKARIBISHA MSANII WA BONGO MOVIE KAJALA BAADA YA KUNUSURIKA KWENDA JELA




 
wema, kajala n friend wakishow love.. 
 
best friends forever inshaallah mwenyez mungu awaweke 

 
hapa wakiingia ukumbini..
 
wema, dj fetty n kajala.. 
 
keki.. 
 
hayaweee mambo JD hayooo... 
 

 
akizungumza machache kabla ajakata keki.. 
 
wema na yeye akiongea machache,,, kajala dont cry bhanaa... 
 
keki hizooo.. 
 
yumm!! 
 
wow.......
 

 
marafiki mbalimbali wakilishwa keki.. 
 
aunt na kajala.. 
 
bilali mashauzi, bilal wa A akila keki na yeye.. 
 
hapo chacha!! kajala akimlisha petit man keki.. 
 
yvone nae akila keki.. 
 
**WELCOME BACK KAJALA**

MY BIRTHDAY: WEMA SEPETU SUPRISED ME



Top Talent
ahahahhha a this woman is something Else..
Wema sepetu aliniita nyumbani kwake.... as soon as i got there nitwishwa boooooonge la keki... You i was like whaaat?
hakuishia hapo.... 
Martin Kadinda