BRAKING NEWS: SHEIKH PONDA AHUKUMIWA KIFUNGO CHA MWAKA MMOJA CHA NJE
Makahama ya Hakimu Mkazi Kisutu Dar Es Salaam leo imemuhukumu Katibu wa Jumuiya na Taasisi za Kiislamu Tanzania,Sheikh Ponda Issa Pondakifungo cha nje cha mwaka mmoja,huku washtakiwa wengine wote 49 wakiachiwa huru
No comments:
Post a Comment