Saturday, April 27, 2013

FATAKI ANASWA LIVE NA MWANAFUNZI GESTI WAKIWA UCHI WA MNYAMA



MfanyabiAshara ‘alwatani’ Bongo, mkazi wa jijini Dar, Allain Tajiri amekumbwa na skendo nzito baada ya kufumaniwa na mwanafunzi wa sekondari wa kidato cha pili mwenye umri wa miaka 16.



Tukio hilo la kusikitisha lilitokea Jumatano ya Aprili 24, mwaka huu katika chumba namba 107 kwenye gesti iitwayo Jamboz iliyopo Kinondoni jijini Dar.

Habari za uhakika zilieleza kuwa tukio hilo lilikuwa ni mtego baada ya walezi wa denti huyo kunasa mawasiliano ya mfanyabiashara huyo akimrubuni binti yao.


Katika mawasiliano hayo, Tajiri alimtaka denti huyo wa sekondari moja iliyopo Kibamba, Dar (jina linahifadhiwa kwa sababu maalum za weledi wa uandishi wa habari), wakutane kwenye gesti hiyo kwa ajili ya kuimomonyoa amri ya sita.

Baada ya walezi hao kuufuma ujumbe kwenye simu ya binti yao, walimuwekea doria bila mwenyewe kujijua na ulipokaribia muda waliokubaliana kukutana gesti, denti huyo aliaga anakwenda ‘tuisheni’.

Huku mwandishi wetu wakiwa ‘stendibai’, kitendo cha binti huyo kuaga muda huo kilianza kuonesha dalili za mtego wa walezi kukaribia kukamilika.

Waandishi wetu ndiyo waliokuwa wa kwanza kufika eneo la tukio na kujibanza wakiwa na picha za wawili hao ambapo walimshuhudia mfanyabiashara huyo akifika kaunta na kuagiza maji makubwa na kuyanywa hadi yakaisha kisha kuelekea kwenye dirisha la mapokezi ya gesti hiyo.
Ilidaiwa kuwa yale maji aliyokunywa chupa nzima alilenga kuwa fiti kwa ajili ya ‘gemu’ na ‘kadenti hako’.

Mmoja wa waandishi wetu naye alijisogeza kwenye dirisha hilo akijifanya kutaka chumba na kumsikia mhudumu akimpa Tajiri chumba namba 107 na kumuonesha kilipo.

Ghafla binti huyo naye alifika mapokezi akiwa na sare za shule ambapo alimkuta paparazi wetu akiendelea kuzuga kwa kutaka kukagua chumba kizuri kabla ya kulipia.

Dakika chache baada ya Tajiri na denti huyo kuingia chumbani, mwanausalama mmoja alitangulia akifuatwa na mwandishi wetu na ndugu wa denti huyo ambapo waliomba kukagua chumba hicho kwa kuwa kulikuwa na binti yao.

Waliporuhusiwa waliingia na kugonga chumba ambapo jamaa huyo alifungua, wote wakakutwa wakiwa watupu huku mfanyabiashara huyo akiwa kwenye harakati za kuvaa ‘kinga’ au ‘dawa ya penzi’ baada ya kumchezea mtoto wa watu.

Tukio hilo lilivuta hisia za jazba kwa umati uliofurika ghafla kwenye eneo hilo huku kila mtu akilaani kitendo cha jamaa huyo kumkatishia denti huyo masomo na kumpeleka gesti kwa ajili ya ngono.

“Fikiria wewe kama mzazi unalipa ada mtoto wako asome halafu mtu mwingine kwa makusudi anamwachisha masomo na kumpeleka gesti wakafanye ngono! Kweli inauma sana, kila mzazi anatokwa na machozi,” alisema mmoja wa mashuhuda wa tukio hilo baada ya kuibuka kwa varangati gesti hapo.


Kwa upande wake, dada mlezi wa anayemsomesha denti huyo (jina tunalo) alijikuta akimnasa makofi mfanyabishara huyo na kuzua timbwili zito kutokana na kupandwa na hasira ya ajabu.


Katika vuta nikuvute, ghafla jamaa huyo alifanikiwa kuwachoropoka na kuingia mitaani akitimua mbio hivyo kutoa kazi nyingine ya kuanza kumsaka upya ili afikishwe kwenye mkono wa sheria.

ISHA MASHAUZI ATIWA MBARONI KWA WIZI WA SH. 700, 000



MWIMBAJI ambaye pia ni bosi wa Kundi la Mashauzi Classic, Aisha Ramadhan Makongo ‘Mashauzi’, Jumatano iliyopita alikumbwa na masaibu mazito kufuatia kudakwa na polisi wa Kituo cha Msimbazi, Dar akituhumiwa kukwapua mkoba wenye kitita cha shilingi laki saba, elfu hamsini na nane na mia mbili (758,200) mali ya Veronica Tarik.

Chanzo cha habari kituoni hapo kilidai kuwa Jumanne iliyopita, Isha Mashauzi na shosti wake aliyejulikana kwa jina la Halima Shaban waliingia duka moja Mtaa wa Mafia na Jangwani, Kariakoo, Dar kwa lengo la kufanya ‘shopping’ lakini walipochomoka, Veronica alishangaa kutouona mkoba wake.
 Dida akiwa kituo cha polisi cha Msimbazi kwa ajili ya kumtolea dhamana Mashauzi

Veronica aliwakimbiza wawili hao na kuwadaka mtaa wa pili na kuwasomea tuhuma zao kisha akawaomba awasachi kwenye mafurushi waliyobeba lakini Isha na mshirika wake waligoma, hali iliyosababisha kuzuka kwa timbwili wakidai mwanamke huyo alitaka kuwadhalilisha.


Baada ya Veronica aliyekuwa na wapambe ‘legelege’ kuzidiwa nguvu, waligeuka na kukimbilia Kituo cha Polisi Msimbazi ambako alifungua kesi ya wizi kwa Isha na shosti wake kwa jalada namba MS/RB/4023/2013.

Maafande wenye difenda waliingia mitaani kuwasaka watuhumiwa hao mtaa hadi mtaa wakitumia mbinu mpya za kikachero na kufanikiwa kuwatia mbaroni Jumatano iliyopita.

Isha akiwa selo, wapambe wake walimiminika kituoni hapo akiwemo Mtangazaji wa Kituo cha Redio Times FM cha jijini Dar, Hadija Shaibu ‘Dida’ kwa ajili ya kuhangaikia kuwachomoa wawili hao.

Saa 5:14 usiku, wapambe hao walifanikiwa kuwawekea dhamana lakini kasheshe nzito ilikuwa wakati wa kutoka rumande kwani wapambe wa Isha waligundua kuwa waandishi walikuwa wamekizingira kituo hicho na vifaa vya kisasa kwa ajili ya kunasa picha zao.

 Isha alijaribu kujibanza ndani ya selo lakini wapambe walimpelekea taarifa kuwa waandishi nje walikuwa wakijipanga kukesha kituoni hapo mpaka siku itakayofuata.

Baada ya kupata ujumbe huo, Isha alichomoka mahabusu kwa kasi ya mnyama swala na kukimbilia kwenye gari aliloandaliwa kumchukua huku wapambe wake wakiwa wamezikamata kamera za waandishi eti ili wasimpige picha.

Kesho yake Alhamisi, mwandishi wetu alizungumza na Isha kwa njia ya simu ili aweze kuweka bayana juu ya sakata hilo lakini mwimbaji huyo alimjibu mbofumbofu.

“Wewe andika unachotaka si ulikuwepo kituoni na umenipiga picha, sasa unataka nini? Yaani hata wewe unanifanyia hivyo duh! Leo nimeamini waandishi hawana undugu,” alisema Isha na kukata simu.

KIJANA ANASWA AKIFANYA MAPENZI NA MBUZI....




Katika  hali  ya  kushangaza, jamaa  mmoja  nchini  Nigeria  amenaswa  live  akivunja  amri  ya  sita  na  Mbuzi ....

Baada  ya  kufamaniwa  na  wanachi, mwanaume  huyo  alipewa  kichapo  kikali  na  kufangashwa  na  mbuzi  huyo  hadi kituo  cha  polisi.... 

Maswali  yenye  utata  kuhusu  tukio  hilo:

1. Kuna  faida  gani  au  starehe  gani  ya  kufanya  mapenzi  na  mnnyama....

2..Viungo  vya  mwanaume  ni  vikubwa  sana  ukilinganisha  na  vile  vya  mbuzi...huyu  jamaa  aliwezaje....Bora  angechukua  punda  kuliko   kumuonea  mbuzi  wa  watu..!!! 

Niimani  yetu  kwamba sheria  itamfundisha  adabu

MSANII ALIYEONGOZA KUCHAGULIWA KWENYE 'CATEGORY' NYINGI KATIKA TUZO ZA KILIMANJARO 2013




Ommy Dimpozi pichani ndo msanii aliyeongoza kuchaguliwa katika category nyingi kuliko msanii yeyote.Msanii huyo amechaguliwa katika category 6;
1.WIMBO BORA WA MWAKA-ME N U FT VANESA MDEE
2.MSANII BORA WA KIUME
3.MSANII WA KIUME BONGOFLEVA
4.VIDEO BORA YA MWAKA-BAADAE
5.MTUNZI BORA WA MASHAIRI BONGOFLEVA
6.WIMBO BORA WA BONGOPOP
i.BAADAE
ii.ME N U FT VANESA
Ben Pol ni msanii wa pili yeye amechaguliwa mara 5;
1.WIMBO BORA WA MWAKA-PETE
2.MSANII BORA WA KIUME
3.MSANII BORA WA KIUME BONGOFLEVA
4.MTUNZI BORA WA MASHAIRI BONOGFLEVA
5.WIMBO BORA WA R&B
i.MANENO MANENO
ii.PETE
 Mwasiti naye amechaguliwa katika category 5;
1.WIMBO BORA WA MWAKA-MAPITO
2.MSANII BORA WA KIKE
3.MSANII BORA WA KIKE BONGOFLEVA
4.WIMBO BORA WA KUSHIRIKIANA-MAPITO
5.WIMBO BORA WA ZOUK/RHUMBA

My Wife Anataka Nimwingilie Kinyume na Maumbile



Jamani poleni na majukumu ya kila siku. Najua mnaendelea vizuri.
Ndugu zangu nahitaji ushauri wenu kwani nipo njia panda. Mimi ni kijana nipo ktk ndoa kwa miezi mitano sasa. kuna jambo ambalo mke wangu amelianzisha kwa siku za karibuni, mara nyingi tunaposex ananiambia anataka nimwingilie kinyume na maumbile (kula tigo). Mwanzoni nilidhani labda ni mzuka wa mahaba umepanda lakini naona ni jambo ambalo linajirudia mara nyingi tunaposex.
Mimi sijawahi kula tigo na sipendelei kula tigo. Kwa keli najiuliza nifanye jambo gani lakini nakosa jibu. ndoa yetu ni ndoa halali tena ya kikiristo ambayo hairuhusu kujamiiana kinyume na maumbile.
Wanajamvi naombeni ushauri wenu ktk hili.
Ahsanteni

RAISI KIKWETE ASAMEHE WAFUNGWA 40000




Rais Jakaya Kikwete jana aliongoza maelfu ya Watanzania katika maadhimisho ya miaka 49 ya muungano yaliyofanyika katika Uwanja wa Uhuru jijini Dar es Salaam na baadaye kusamehe wafungwa 4,180.
 
Idadi kubwa ya watanzania walishiriki katika maadhimisho hayo hayo ambayo yalianza saa 2:30 asubuhi na kupambwa na gwaride rasmi lililoandaliwa na vikosi mbalimbali vya ulinzi na usalama na kupendezeshwa na halaiki ya wanafunzi 2,695 kutoka Tanzania Bara na Visiwani waliofanya maonyesho mbalimbali ya kuashiria maadhimisho ya muungano.
 
Viongozi mbalimbali wakiwamo wastaafu kutoka Tanzania Bara na Visiwani walishiriki kwenye maadhimisho hayo ikiwa ni ishara ya kuuenzi na kuulinda muungano huo.
 
Viongozi hao ni pamoja na Rais wa Zanzibar, Dk Mohamed Shein, Makamu wa Rais wa Tanzania, Dk Mohamed Gharib Bilali, Waziri Mkuu, Mizengo Pinda, Makamu wa Kwanza wa Rais Zanzibar, Maalim Seif Sharrif Hamad na Makamu wa pili wa Rais Zanzibar, Balozi Seif Idd.
 
Wengine waliohudhuria maadhimisho hayo ni Rais mstaafu wa Zanzibar, Aman Abeid Karume, Rais mstaafu wa awamu ya pili, Ali Hassan Mwinyi, Rais mstaafu wa awamu ya tatu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Benjamin Mkapa na mawaziri wakuu wastaafu, Edward Lowassa na Frederick Sumaye.
 
Baada ya viongozi kuketi katika nafasi zao, gwaride rasmi lenye gadi kumi lilipita na kutoa heshima zao mbele ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
 
Baada ya hapo vijana wa halaiki walionyesha maumbo mbalimbali kuashiria maendeleo yaliyopatikana nchini kwa muda wa miaka 49 tokea taifa la Tanzania liundwe rasmi kabla ya Wanahalaiki kujipanga na kuonyesha taswira mbalimbali na kuimba wimbo wa kuhamasisha kudumisha muungano.
 
Hata hivyo, baadhi ya viongozi wa upinzani hawakuweza kushiriki kwenye maonyesho hayo.
 
Viongozi hao ni Mwenyekiti wa Chama cha NCCR-Mageuzi, James Mbatia, Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe na Mwenyekiti wa Chama cha Wananchi (CUF), Profesa Ibrahim Lipumba.

 Akizungumza na waandishi wa habari baada ya kumalizika kwa shughuli za maadhimisho hayo, mjumbe wa Kamati Kuu Chadema ambaye pia ni Mjumbe wa Tume ya Marekebisho ya Katiba, Profesa Mwesiga Baregu alisema kuwa, Watanzania wanapaswa kujivunia Muungano walionao kwa sababu umedumu kwa miaka 49, akieleza kuwa ni nadra sana kuona nchi za Afrika au Ulaya kuendeleza muungano wenye umri mkubwa kama huu wa Tanganyika na Zanzibar, hivyo basi wanapaswa kuuenzi na kuulinda kuendeleza amani iliyopo.
 
Wakati huohuo, Rais Jakaya Kikwete ametoa msamaha kwa wafungwa 4,180 waliokuwa wakitumikia vifungo vyao katika magereza mbalimbali hapa nchini katika kuadhimisha miaka 49 ya muungano.
 
Wafungwa waliosamehewa ni wanaotumikia kifungo kisichozidi miaka mitano, ambapo mpaka siku ya msamaha yaani April 26, watakuwa wameshatumikia robo ya vifungo vyao, wafungwa wagonjwa wa Ukimwi, kifua kikuu na kansa ambao wamethibitishwa na jopo la madaktari.
  
Pia wazee wenye umri wa miaka sabini au zaidi, wafungwa wa kike walioingia na mimba gerezani, walioingia na watoto wanaonyonya na wasionyonya, wakiwamo walemavu.
 
Msamaha wa Rais pia umeenda kwa wafungwa walemavu wa mwili na akili na wafungwa ambao hadi siku ya jana walikuwa wameshakaa gerezani kwa muda wa miaka mitano na wameonyesha kuwa na tabia nzuri.

ZITTO KABWE ATOA POLE KWA FAMILIA YA GODBLESS LEMA BAADA YA KUTIWA MABOMU JANA USIKU



 Hii  ni  kauli  ya  Zitto  kabwe  Baada  ya mbunge  wa  Arusha  kutiwa  mbaroni  jana  usiku..

BREAKING NEWS: Mbunge wa Arusha Mjini kupitia chama cha Demokrasia ma Maendeleo (CHADEMA) Ndugu "Godbless Lema" usiku wa jana kuamkia leo saa8 amefikishwa Central Police bila kufahamika chanzo...

 Hii inatupa wasiwasi na kubaini kua kuna mchezo nyuma ya pazia unaochezwa na kundi la watu wa chache katika siasa upande wa pili wa upinzani kibaya zaidi ni ma'askari waliovamilia nyumbani kwa mbunge usiku wa jana na kulipua mabomu na wakiwa na silaha kali utadhani wamekwenda kumkamata jambazi au mtu mwenye kesi ya mauaji kitu ambacho sio kizur

MZIMU WA MICHAEL JACKSON WAWASUMBUA NDUNGU ZAKE....



MICHAEL Jackson’s sister La Toya has claimed the late singer is haunting his childhood home.

The 56-year-old believes Jacko’s spirit is looking over his children Prince, Paris and Blanket — who live there with his mum Katherine.

And she said the superstar can be heard tap dancing in the mansion in Encino, California.

The former Celebrity Big Brother star said: “You don’t see anything but you feel a presence.”

La Toya has also been using a psychic to speak to her brother, who died of an overdose in 2009 aged 50. She said: “If Michael wants to tell me something, I want to know.”
Source: thesun.co.uk

HUYU NDO MSANII ALIYEFUKUZWA KUTOKANA NA U-HANDSOME ULIOPITILIZA




Huyu ni Omar Borkan Al Gala, mwigizaji na pia mpiga picha wa huko Dubai ambaye kwa mujibu wa taarifa, yeye pamoja na wenzake wawili wamefukuzwa huko Saudi Arabia kutokana na kuwa na muonekano mzuri kupitiliza
(Yaani ma-handsome kupita kiasi) ili kuepusha kuwaingiza katika tamaa wanawake ambao hushindwa kujizuia kuwashobokea.

Omar alitolewa na maafisa wa polisi na kunyimwa kuhudhuria katika tamasha ambalo hufanyika kila mwaka nchini humo ambalo huusisha mbio za Ngamia, Janadriyah Festival ambalo kwa sehemu kubwa huhudhuriwa na matajiri, na baadhi ya vyanzo vya taarifa vinasema Omar alitolewa kutokana na mualiko wa msanii wa kike maarufu kutoka Falme za Kiarabu ambaye walihofia angeweza kutengeneza mahusiano naye.... na wengine wakisema ni hofu ya wakubwa kuibiwa mademu wao.

MSAKO WA MACHANGUDOA WAMKUMBA MKE WA MTU BAADA YA KUNASWA AKIWA "KIZEMBE-KIZEMBE" USIKU




MKE wa mtu ambaye jina lake halikufahamika mara moja (pichani),hivi karibuni yalimkuta makubwa baada ya kuibiwa vitu vyake vyote vilivyokuwa ndani ya pochi na dereva wa Bajaj ambaye pia jina lake halikufahamika.

  Kwa mujibu wa chanzo chetu, tukio hilo lilitokea mwishoni mwa wiki iliyopita ambapo dada huyo alikodi Bajaj hiyo toka nyumbani kwake, Kinondoni-Shamba jijini Dar kwenda kujirusha katika klabu moja ya usiku iliyopo Mwananyamala ndipo alipolizwa pochi hiyo iliyokuwa na fedha (zaidi ya elfu hamsini) pamoja na vitambulisho.


Chanzo hicho kilizidi kueleza kuwa, kabla hajafika klabu, dada huyo aliamua kumpitia shosti yake aliyekuwa katika Baa ya Uhuru Peak, Mwananyamala ili wakajirushe pamoja ndipo dereva huyo alipomfanyizia.
 

 “Alipofika hapa Uhuru Peak akaacha pochi yake ndani ya Bajaj ili amshtue fasta rafiki yake ndipo dereva alipotumia mwanya huo kutokomea kusikojulikana,” kilisema chanzo hicho. 
  
 Baada ya dakika kadhaa, dada huyo alitoka nje na kuanza kuangaza huku na huko ghafla akapata msala mwingine wa kutiwa mbaroni na Jeshi la Polisi lililokuwa katika msako wa kuwakamata machangudoa.

DIAMOND AWATAKA MADEMU WA LONDON WAJIPENDEKEZE ILI ACHAGUE WA "KUMKANYAGA"




Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ anaendelea kutunisha akaunti yake baada ya kulamba shavu la shoo za kutosha nchini Uingereza ambapo ameahidi kurejea Bongo na mchumba rasmi atakayemtambulisha kwa mama yake, Sanura Kassim ‘Sandra’.
  
Mkali huyo wa ngoma ya Kesho alifunguka hayo juzikati kupitia website yake alipokuwa akizinadi shoo hizo atakazofanya kwenye majiji ya London na Reading, Uingereza ambapo aliwataka warembo hasa Wabongo waishio humo kupendeza ili achague mmoja atakayekuwa mchumba’ke.

Bila kujali mjadala utakaoibuka kwa kuwa tayari ana mchumba ambaye ni Penniel Mungilwa ‘Penny’, Diamond alifunguka:“Mashabiki wangu wa London na Reading kijana wenu nakuja kuweka historia kwa mara nyingine. Warembo mpendeze nakuja kuchagua mchumba mmoja wa kuja kumtambulisha kwa mama Diamond.”

MENEJA MZINZI ALIYEFUMANIWA NA MKE WA MTU AACHISHWA KAZI...





Katika Gazeti la Uwazi ..toleo la 786, Aprili 16-22, 2013 ukurasa wa mbele kulikuwa na habari ; MHESHIMIWA AUMBUKA! Habari  hiyo  tuliiripoti  pia  mtandaoni

Katika habari hiyo, mtu aliyetajwa kwa jina la Everson Makowa (49) ambaye ni meneja wa kampuni ya kusafirisha mizigo ya Malawi Cargo tawi la mkoani hapa alidaiwa kunaswa gesti na mke wa mfanyakazi wake . 

Sasa, habari mpya ni kwamba bosi huyo ambaye pia ni mbunge mstaafu wa Jimbo la Nkotakota South East nchini mwake anadaiwa kupigwa chini kazini kwake baada ya uongozi wa kampuni hiyo makao makuu yaliyopo nchini Malawi kuzinyaka taarifa za kudaiwa kufumaniwa na mwanamke huyo.
 Kwa mujibu wa chanzo chetu, mara baada ya habari hiyo kutoka mtandaoni, uongozi wa kampuni hiyo ulimwandikia barua ya kumwachisha kazi mtuhumiwa huyo.

Mwandishi  wetu Jumatano iliyopita alikwenda nyumbani kwa mdaiwa huyo ambapo pia ndiko zilipo ofisi za kampuni hiyo kwa lengo la kuzungumza naye lakini watu waliokuwepo walisema alikuwa ametoka.
 Kwa mujibu wa mfanyakazi mmoja alikiri jamaa huyo kutemeshwa mzigo na kuongeza kuwa, tayari bosi mwingine amefika kuziba nafasi yake. 
Mwandishi  wetu alipoomba azungumze na bosi mpya, aliambiwa alikuwa na wageni hivyo ikawa vigumu kumpata.
 Pamoja na habari ya kutemeshwa kazi, mtuhumiwa huyo ameshindwa kuondoka Mbeya kurudi Malawi kufuatia kesi inayomkabili kutarajiwa kuunguruma mahakamani ambapo mume wa mwanamke huyo ndiye mlalamikaji.


Siku ya tukio, majira ya saa 11:25 jioni, mtuhumiwa huyo alifika kwenye gesti hiyo akiwa ndani ya gari aina ya Toyota Hilux lenye namba za usajili T 821 ASY.



Mtego wa kumnasa jamaa huyo uliandaliwa na polisi kwa kushirikiana na mume wa mwanamke, jamaa na marafiki huku mke wa mlalamikaji akitoa ushirikiano wa kutosha.
Mwanamke aliyenaswa naye, mumewe alikuwa mfanyakazi wake wa ndani lakini alimsimamisha kazi kwa madai ya kuchelewa kazini.
Habari zinadai, tangu alipomsimamisha alikuwa akiomba penzi kwa mkewe akidai ndiyo ujira wa msamaha kwa mumewe.