Saturday, April 27, 2013

MSANII ALIYEONGOZA KUCHAGULIWA KWENYE 'CATEGORY' NYINGI KATIKA TUZO ZA KILIMANJARO 2013




Ommy Dimpozi pichani ndo msanii aliyeongoza kuchaguliwa katika category nyingi kuliko msanii yeyote.Msanii huyo amechaguliwa katika category 6;
1.WIMBO BORA WA MWAKA-ME N U FT VANESA MDEE
2.MSANII BORA WA KIUME
3.MSANII WA KIUME BONGOFLEVA
4.VIDEO BORA YA MWAKA-BAADAE
5.MTUNZI BORA WA MASHAIRI BONGOFLEVA
6.WIMBO BORA WA BONGOPOP
i.BAADAE
ii.ME N U FT VANESA
Ben Pol ni msanii wa pili yeye amechaguliwa mara 5;
1.WIMBO BORA WA MWAKA-PETE
2.MSANII BORA WA KIUME
3.MSANII BORA WA KIUME BONGOFLEVA
4.MTUNZI BORA WA MASHAIRI BONOGFLEVA
5.WIMBO BORA WA R&B
i.MANENO MANENO
ii.PETE
 Mwasiti naye amechaguliwa katika category 5;
1.WIMBO BORA WA MWAKA-MAPITO
2.MSANII BORA WA KIKE
3.MSANII BORA WA KIKE BONGOFLEVA
4.WIMBO BORA WA KUSHIRIKIANA-MAPITO
5.WIMBO BORA WA ZOUK/RHUMBA

No comments:

Post a Comment