Saturday, May 4, 2013

ROSE NDAUKA KAAMUA KUTAFUTA MAWAZO YA WATOTO WA MITAANI ILI KUBORESHA FILAMU ZAKE, HIKI NDICHO ALICHOKISEMA




MSANII wa filamu nchini Tanzania Rose Ndauka azidi kujizolea umaarufu na kuongeza mashabiki wa aina zote kwa kuwa karibu na watoto wa mitaani hususani katika matembezi yake ya kila siku

Msanii huyo ambaye anajitahidi kujitofautisha na baadhi ya wasanii wengine wa filamu nchini kwa kuwa karibu na jamii yake kwa vitendo hususani watoto hao wa mitaani

Akizungumza jijini Dar es Salaam Ndauka alisema kuwa katika maisha yake hususani kwa kipindi hiki ambacho yeye ni supar staa anathamini watoto wa aina yote kwani hao ndio moja ya mashabiki wake

Alisema kuwa anawathamini watoto hao hali inayomsababisha kutembea kwa miguu ili kila anapokutana nao apate nafasi ya kuzungumza nao na kubadilishana nao mawazo kwa kufanya hili anaamini kuwa anaongeza mashabiki wake na kuwafanya watoto hao kuwa karibu nao

Ndauka ambaye anaamini watoto wa mitaani wanahitaji upendo wa kila mmoja anayemzunguka alisema kuwa ni jukumu lake na nafsi yake inamsukuma kufanya hivyo ili kuzidisha upendo na kuwafanya wahisi ni sehemu moja ya jamii

Aliongezea kuwa kila anapokutana na watoto hao anahisi faraja moyoni mwake kwani hiyo ni sehemu ya kitu anachokipenda na nyakati za siku ya mapumziko hutumia muda wake mwingi kutembea kwa ajili ya kuwaona watoto na kupata mawazo yao ambayo anayatumia katika kuboresha filamu zak

Jamani Nisaidieni Kufanya Mapenzi Kinyume na Maumbele Itaniua-Am Addicted






Wana Udakuz
Mwenzenu ni mwathilika na 0713 na sasa natamani kuiacha lakini nashindwa.. nakumbuka mara ya kwanza nilikutana na sister muasi aliyefukuzwa utawa huko Ukerewe sijui ni kwanini.. nilikutana na dada huyu bandari ya mwanza akishuka katika meli ya mv Clerias kutoka uk..kama ilivyo ada katika maongezi yetu hapa na pale akanipa fully story ya yeye kupigwa chini huko jimboni na kwa sababu hiyo hata kwao nao hawamtaki kumuona na alikuwa anakuja mwanza kwa rafiki yake kuja kuyaanza maisha mapya..akaniomba kama niko single nimuokoe kwani hana uhakika na rafiki yake nikaona pooua!!!!!!!!!! tukaanza maisha nikiwa katika mambo cku 1 akaniambia leo nataka nikupe zawadi ckujua ni zawadi gani!! nikiwa nzsubiri nijue zawadi gani nikashangaa PANGA langu linashikwa na kuelekezwa 0713ni kwa kweli nilisikia raha na joto la hali ya juu na mbanano ambao cjawahi kuupata,toka siku hiyo mambo yakawa 0713 kwa kwenda mbele sasa huyu dada amesafiri na mimi nataka nitumie muda huu niache huu mchezo wa 0713 lakini kila nikijitahidi nashindwa jamani na mbaya zaidi kila nkichukua demu mambo ni yale yale yaani anakuwa mshabiki wa 0713 na inaniwiya vigumu sana ni mademu zaidi ya sita sasa wote wafuasi wa 0713 nikipiga chakwanza nikiomba tena naambiwa nihamie 0713 na kosa nikihamia 0713 huyo demu ananiganda sasa ba ndug nifanyeje???????????? NAOMBA KUWASILISHA:::

Gadner "Ingekuwa Sijaoa Ningemuoa Venessa Mdee"






MUME wa Legend wa Bongo Fleva, Judith Wambura ‘Lady Jadee’, Gardner G Habash ‘Kapteini’ aliwaacha watu midomo wazi baada ya kusema kama angekuwa hajaoa, basi angemuoa msanii anayekuja kwa kasi kwenye gemu, Vanessa Mdee.

Kapteini alitamka hayo juzi katika kinyang’anyiro cha kumtafuta Redds Miss Dar Indian Ocean 2013 kilichochukua nafasi katika Ukumbi wa Makumbusho ya Taifa, Posta jijini Dar ambapo mume huyo wa Lady Jaydee alikuwa MC wa shughuli hiyo hivyo kutumia kipaza sauti kumnadi Vanesa.

“Kiukweli Vanesa ni msanii mzuri, ana uwezo mkubwa wa kufanya muziki wa Hip Hop na kulitawala jukwaa. Ningekuwa sijaoa kwa kweli ningemuoa Vanesa Mdee,” alisema Gardner.
Mbali na Vanesa, wasanii wengine wanaounda familia ya B Heatz walipata nafasi ya kutumbuiza katika hafla hiyo akiwemo mkongwe, Ally Baucha.

Jack Wolper Aijutia Historia yake ya Mapenzi



DIVA wa kiwango cha juu cha filamu hapa Bongo, Jacqueline Wolper, ameonekana kujutia historia yake ya kimapenzi baada ya kufungukia kitendo cha yeye kumuanika kila aliyekuwa akimpenda kwamba kimemtibulia na sasa amejifunza kutokana na makosa.
Jacqueline Wolper.

Akizungumza na Ijumaa hivi karibuni, Wolper alisema kuwa, kwenye maisha yake ya huko nyuma ameshajianika akiwa na wapenzi tofauti lakini sasa atakayempa nafasi kwenye moyo wake hatamuanika ila hilo litakuja baadaye sana kwani sasa hivi kaweka pembeni kwanza mambo ya mapenzi.
“Sitaki yajirudie yaliyotokea katika maisha yangu ya huko nyuma, hata hivyo sasa hivi niko bize sana na kazi, mambo ya wanaume nimeamua kuyaweka pembeni kwanza,” alisema Wolper na kuongeza:
“Sitaki itokee kama ilivyokuwa kwa Dallas ambapo kila mtu alijua alikuwa ni mtu wangu, kwa sasa nimeamua kutulia kwanza na hata nikimpata mwingine watu hawatamjua hadi wakati wa ndoa.”

KURASA ZA MWANZO NA MWISHO ZA MAGAZETI YA MAY 4 2013





.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.

PICHA ZA JENGO LINALOFANANA NA UUME ZATOLEWA NA GAZETI LA CHAMA TAWALA NCHINI CHINA...




Gazeti la chama tawala cha china, People’s Daily ambalo limezoea kuwa kitovu cha kusambasa habari, sasa limejikuta likiwa habari baada ya watu wenye fikra za kitukutu kuona jengo jipya la gazeti hilo limefanana na nyeti za kiume.
 
Jengo hilo lenye urefu wa mita 150, hivi sasa bado linaendelea kujengwa jijini Beijing. Kutokana na muundo huo usiokua wa kawaida, picha za kibunifu zikaanza kuibuka katika website ambayo ni kama “Twitter ya China,” inayoitwa Sina Weibo.

Watu wengi wameeleza kuwa kwa kutumia ubunifu kidogo tu wa photoshopping, unaweza kuambatanisha picha ya jengo hilo, ambalo raia wamelipa nickname “Giant Pen*s” au “Uume mkubwa,”katikati ya “miguu” ya jengo lingine maarufu nchini humo ambalo ni makao makuu ya kituo cha TV cha China Central Television (CCTV,) linalojulikana kwa nickname ya “Big Und*rpants”building au Jengo la Chupi Kubwa.

 Habari za utani huo zilifikia wakubwa nchini humo ambao walikerwa na kuamua kuwaharibia watu raha zao kwa kuamuru website ya Sino Weibo ku-block search zote zinazotafuta picha au habari za jengo hilo. 


Kwa sasa Wachina wakitafuta jengo hilo, wanakutana na ujumbe“kuendana na sheria, kanuni na sera husika, matokeo ya utafutaji wako (search results) hayawezi kuonyeshwa."
 
Mwandishi wa Reuters, Anita Li amesema “hii inaonyesha frustrations miongoni mwa vijana watumiaji wa internet nchini China, na pia inaonyesha ni kiasi gani “wakubwa” wako sensitive kwa hata vitu vidogo vya kipuuzi online.”

Laivu.com 

MWANAFUNZI WA CHUO CHA IFM -DAR AFARIKI DUNIA KWA KULISHWA SUMU NA MKE WA MTU.....




Habari   zilizotufikia  toka  IFM- Dar es salaam  ni  kwamba  mwanafunzi  mmoja ambaye  bado  hatujafanikiwa  kulipata  jina  lake  amefariki  dunia  kwa  kulishwa  sumu  katika  chakula  alicholetewa  na  mpenzi  wake  ambaye  ni  mke  wa  mtu......

Taarifa  zaidi  zinadai  kwamba Mwanafunzi huyo alikuwa na uhusiano wa karibu sana na mke  wa mtu  ambaye  mbali  na  starehe  za  kimapenzi  alikuwa  pia  anampekea  chakula  cha  jioni 


Baada ya  mchezo  huo  kudumu  kwa  muda, mume wa  mwanamke  aliusoma  mchezo  mzima  na  kuandaa  tego  la  kuwaangamiza  wote....

Habari  zinadai  kwamba  Siku ya jumatano jioni mwanaume  huyo aliwahi  kurudi  nyumbani   na  kufanikiwa  kukinasa  chakula  kilichokuwa  kimeandaliwa  tayari  kwa  kupelekwa  kwa  huyo  mwanafunzi  ambaye  alikuwa  anatembea  na  mke wake.....

Baada  ya  kukinasa, alijifanya  kuzuga  na  kupotezea...Mkewe  alipotoka  alikichukua  na  kukitia  sumu  chakula  hicho  na  kisha  kukiweka   kama  kilivyokuwa  kimeandaliwa....

Lengo  lake  lilikuwa   ni  kuwamaliza  wote  maana  alijua  ni  lazima  akifika  watakaa na kula  pamoja.....

Mwanamke alipopeleka chakula  hakukaa  kula  na  badala  yake   alimwambia yule mwanafunzi   kuwa  mume wake amewahi kurudi siku  hiyo  hivyo  hatoweza  kukaa  wale  pamoja....Mwanafunzi  huyo  akakipokea  na  kukila  na  ndipo  mauti  yakamkuta  


Habari  toka  chuoni  hapo  zinadai  kwamba  mwanafunzi  huyo  alikuwa  ameshadisco  lakini  alikuwa  amepewa  nafasi  nyingine  ya  kurudia  mwaka  wa  pili , hivyo aliendelea kukaa mtaani kama mwanafunzi....


Mwili wa marehemu bado uko Muhimbili kwa uchunguzi zaidi baada ya polisi kuuzuia kuzikwa....

Hizi  ni  habari  mbaya  sana  kwa  wanafunzi  wa  chuo  hicho maana ni jumatatu  tu  mwanafunzi mwingine  alifariki  katika  hali  ya  kutatanisha baada ya  kifo cha mpenzi  wake   miezi  michache  iliyopita....

Habari za ndani zaidi zinadai   kuwa toka  mwaka  huu  uanze  mpaka sasa chuo  cha IFM  kimepoteza wanafunzi 12 huku  wawili  wakiripotiwa  kuwa  na  hali  mbaya  zaidi  katika  hospitali  ya Muhimbili....

"HAKUNA ZAWADI KUBWA NILIYOPEWA NA MUNGU ZAIDI YAKO DIAMOND...NAKUPENDA SANA"......PENNY




Pengine  utundu  wa Diamond  ndo  kitu  pekee kinachowafanya  akina  dada  wamgombanie..Leo ni birthday ya Penniel Mungilwa na mpenzi wake Diamond Platnumz, amemwandikia maneno matamu.
  

“Sometimes I wish you could know how much you mean to me…its a lot’..fu***n a lot, I can’t even explain it.. It’s even more than money… sometimes I don’t even know how to col u, a wife, friend,sister,bedmate, partner.. Ooh God! I don’t know coz you are more than dat,” 

“Siku zote umekuwa mwema, mkarimu,mpole,nidhamu na mwenye mapenzi tele juu yangu…. You always should keep this in your mind “I LOVE YOU SO MUCH”… Happy birthday Darling.”ameandika Diamond

Kwa maneno haya, hakuna msichana anayeweza kujizuia kulia kama akiambiwa na mpenzi wake.


 Baada ya kuona ujumbe huo ulioandikwa na Diamond kwenye Instagram, Penny amejibu:


“Baby u just made me cry!! Oh God Naseeb I luv u so much hubby…wallahi sina hata cha kujibu to make u understand How I appreciate ur sweet luv,God has given me so many things but bringing u in my life is the best gift I have received…U just made my day,years,a lifetym…I wont forget this…thank u hubby.”


HAPPY BIRTHDAY PENNY.