Tuesday, March 5, 2013

Diamond Platnumz Announce to Buy Another New Expensive Car


The Musician from Tanzania Diamond Platnumz through isacc seth Has announced to buy another new car from Japan, He said  the new car will be expensive more than the Toyota Prado which he bought it last year around June..
 Very recently the singer has completed to build the House for her mother at Tegeta Area , The house is said to cost something like two hundred and sixty millions...Big up Diamond...Those are  blessing from your mother ....We all have to learn a lesson from you-We should love our Mothers.

Saturday, March 2, 2013

Ommy Dimpoz Ft Vanessa Mdee - Me and You ( Official Video )



Polisi mbaroni kwa mauaji



Maafisa wanane wa Polisi nchini Afrika Kusini wamekamatwa kuhusiana na kifo cha dereva taxi, ambaye anadaiwa kuburuzwa nyuma ya gari la polisi.
Uchunguzi ulianzishwa kufuatia kutolewa kwa picha ya video, iliyomuonyesha mwanaume mmoja akiwa amefungiwa pingu kwenye gari na kisha kuanza kubururwa katika barabara ya Daveyton, mashariki mwa mji wa Johannesburg.
Mtu huyo ametajwa kuwa ni Mido Macia, raia wa Msumbiji mwenye umri wa miaka 27, ambaye alifariki baadae akiwa katika kizuizini mwa polisi.
Rais Jacob Zuma wa Afrika Kusini ameliita tukio hilo kuwa la kutisha kabisa na lisilokubalika huku taafifa zikisema takriban maafisa wanane watafikishwa mahakamani Machi 4, 2013 kuhusiana na tuk

Friday, March 1, 2013

Swahili Ally - Mvura HD



Swahili Ally - Mvura HD
The Dream Videoz release New Brand traditional music Video from Swahili Ally Director of Photograph ( D.O.P) By Raymond Kasoga Song Tittle Mvura, Artist - Sw...

Thursday, February 28, 2013

DURING THE MAKING OF JAMBO JAMBO VIDEO


PETTY FT. GODZILLA & STEVE RnB


Brand New video from JERRY MUSHALA STUDIOS (JMS), watch in HD......

WIZI WA KUTISHA NDANI YA UWANJA WA NDEGE DAR



Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere 
 
IMEBAINIKA kuwapo kwa wizi wa kutisha katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA), Dar es Salaam, huku magari ya Kikosi cha Zimamoto na Uokoaji yakitajwa kwamba yamekuwa yakivusha vifaa vya wizi kutoka ndani ya uwanja huo.
  
Wizi huo ambao umewasababishia hasara kubwa baadhi ya wasafiri wakiwamo wafanyabiashara, abiria wa kawaida na watalii wanaoingia nchini, unadaiwa kufanywa na baadhi ya wafanyakazi wa Wakala wa Mizigo wa Kampuni ya Swissport.
  
Wafanyakazi hao wamekuwa wakiiba vifaa na bidhaa kwa kuchana mabegi ya abiria kisha kuviweka kwenye makoti yao ya kazi lakini kwa mizigo mikubwa, wamekuwa wakiificha kwenye magari ya zimamoto ambayo huingia na kutoka ndani ya uwanja wa ndege bila kufanyiwa ukaguzi.
  
Chanzo kingine cha habari katika uwanja huo kinasema magari ya zimamoto yanayofanya kazi katika uwanja huo hayakaguliwi yanapopita kwenye lango kuu, hivyo kutoa mwanya wa kuvushwa kwa mali za wizi.
  
“Mali zinazowekwa katika magari hayo ni zile kubwa ambazo hutakiwa kuuzwa nje ya uwanja wa ndege kama kontena la simu au mabegi makubwa ya nguo,” kilisema chanzo hicho.
  
Baadhi ya waathirika wa wizi huo waliliambia gazeti hili kwamba wamepoteza mizigo mingi kwa nyakati tofauti na kupata hasara kubwa na kwamba uwanja huo si salama kwa wafanyabiashara hasa wanaoingiza bidhaa zao kutoka nje ya nchi.
  
Chanzo chetu katika uwanja huo kilidokeza kuwa mara nyingi wizi hufanyika wakati mizigo inaposhushwa kutoka kwenye ndege kupelekwa eneo la kusubiri kuchukuliwa na abiria pia wakati mizigo mingine inapohifadhiwa kwenye stoo uwanjani hapo ikisubiri wahusika kuichukua.
  
“Wakati wanashusha mizigo kutoka kwenye ndege wanaikata kwa visu au viwembe vikali na kuchomoa chochote kilichomo kisha wanaweka katika makoti ya kazi ambayo yana mifuko mikubwa,” kilieleza chanzo hicho.
Mkurugenzi Mtendaji wa Swissport Tanzania, Gaudence Temu alikiri kuwapo kwa tatizo hilo lakini akasema kampuni yake kwa kushirikiana na wadau wengine uwanjani hapo wamekuwa wakichukua hatua za kudhibiti wizi huo.
“Huu wizi unaharibu sifa ya uwanja wa ndege wa kimataifa, ndiyo maana tukasema hatutakuwa na uvumilivu hata kidogo kwa wale ambao tunabaini kwamba wanafanya vitendo hivyo,” alisema Temu.
Kamishna Msaidizi wa Zimamoto na Uokoaji, Sikiri Sala alisema amekwishazungumza na Kikosi cha Zimamoto Uwanja wa Ndege kuhusu suala hilo ambalo hata hivyo, alisema ni zito na linahitaji ushirikishwaji wa viongozi wote kwa kuwa uwanja huo una mashirika mengi.

MWANAMZIKI AMUITA SHABIKI JUKWAANI NA KUANDA "KUDENDEKA" NAYE






 Baada ya Mziki kukolea Msanii Akimuita shabiki stajini ili wacheze naye lakini mambo yalikolea zaidi pale walipojikuta wana kisiana stejini kitu kilichosababisha minongono kwa mashabiki


PICHA ZA NICK MINAJ AMBAZO MATITI YAKE YAKO WAZI HADHARANI ZASAMBAA





,Ni picha  za  utengenezaji  wa  video yake mpya.....
.


Mwanamuziki wa kizazi kipya anaetamba na ngoma yake mpya ya MAHAKAMA YA MAPENZI, Linex amemvalisha pete ya uchumba mpenzi wake.


Linex ambae pia anatamba na ngoma zake kama Moyo Wa Subira, Mama Halima, Ngekewa, Aifola na nyingine nyingi amemvalisha pete wakiwa waili tu mchumba wake huyo mweye asili ya Finland anaefahamika kwa jina la Suvi.


Linex amechukua uamuzi wa kufanya kitendo hicho kwa siri kwa sababu ameona haikuwahusu watu wengi wajue maana ni kitu ambacho kinawahusu wao wawili tu.

new Project From Jerry Mushara


NEW PROJECT BY JERRY MUSHALA



Directed, Shot and Edited By JERRY MUSHALA Artist: STEVE RnB Song: JAMBO JAMBO FOR FILM MAKERS Used Canon T2i/550d + canon 17-4

my izac: CHRIS BROWN GET KARRUECHE TATTOO REMOVED

my izac: CHRIS BROWN GET KARRUECHE TATTOO REMOVED: It's reportedly Chris Brown is undergoing painful session of laser treatment to get his ex's face off his left arm. Chris ...

CHRIS BROWN GET KARRUECHE TATTOO REMOVED



It's reportedly Chris Brown is undergoing painful session of laser treatment to get his ex's face off his left arm.
Chris Brown is finalizing his breakup from Karrueche and back with his super star girlfriend Rihanna by erasing the ex girlfriend from his arm forever.
Looking closely at the picture from Chris and Rihanna Hawaiian vacation, you can clearly see Karrueche's face dissappearing into the darkness. What used to be clear, this shows how Chris has totaly erase Karrueche in his life and happy in love with Ririri.
My advice, its a bad idea to tattoo your partner face in your body, Tattoo are permanent but relationship aren't! So my advice is to keep your girlfriend or boyfriend off your body in future.
 

GODZILLA , STEVE RNB & PETTY (BEHIND THE SCENE SHOTS)


GODZILLA , STEVE RNB & PETTY (BEHIND THE SCENE SHOTS)
Some Random shots of upcoming music Video performed by PETTY FT. GODZILLA & STEVE RnB -- (NAUMIA MOY