Kuna hizi habari ambazo zimeanza kusambaa kwa kasi siku ya jana katika mitandao ya kijamii.....
Taarifa hizo zinamuonesha msichana ( pichani) wa kitanzania ambaye anadaiwa kunyongwa ijumaa ya wiki hii baada ya kukamatwa na madawa ya kulevya....
Mtandao huu bado haujathibitisha ukweli ama undani wa habari hizo....
LAKINI kwa tahadhari, tunaomba kama kuna yeyote anayemjua afanya mawasiliano na ndugu zake maana huenda ikawa ni kweli.
Na kama si kweli, basi habari hii ipuuzwe..!!
No comments:
Post a Comment