Jana Usiku wa Tarehe 1/7/2013 ulikuwa usiku wa Tuzo za Billboard Music Award,Tuzo hizi ni Maalumu kabisa kwa wanamuziki wanaofanya vizuri na nyimbo zao zinazosikilizwa zaidi kwenye vituo mbalimbali vya redio,television na dunia kwa kwa ujumla na Online ni kimaanisha Youtube,Itune na n.k kwa Ujumla......
Usiku wa Jana ndio ilikuwa sherehe ya ugawaji wa tuzo hizo uliofanyika kwenye jiji la Las Vegas uku ikiudhuriwa na Mastaa wengi wanaofanya mziki ndani ya marekani na nje ya marekani... Usiku huo unaweza kujionea kwenye picha jinsi ulivyofaana kabisa kila mtu akiwa kwenye nyuso za furaha wakati wa kupokea tuzo na hata wakati wa utumbuizaji
Zifuatazo ni picha za ugawaji tuzo na matukio mbalimbali ya utumbuizaji kutoka kwa wasanii walioalikwa kutumbuiza kwenye usiku huo wa Billboards Award 2013 (BBMA)...... |
No comments:
Post a Comment