Tuesday, March 19, 2013

NDAKUMISINZE BY Big Fizzo.(Lukata50)

Diamond Platnumz & Nay wa Mitego - Muziki Gani [BongoUnlock]

Top Tracks for Rick Ross (playlist)

BABLEE FT. KOLIOMBI - DHAMIRA (OFFICIAL VIDEO) Dir: JERRY MUSHALA

Top Tracks for Rick Ross (playlist)

Top Tracks for Rick Ross (playlist)

Pain killer ft Ric one




my first song: dir by Isacc seth savio Production

HII NDIO ASILIMIA YA WATANZANIA WASIOTAZAMA TV JIJINI DAR TOKA DIGITAL IJE


. Tulikua na uhakika kwamba ni idadi ndogo ya Watanzania waliofanikiwa kununua na kuvitumia vinga’muzi toka mfumo wa digital uanze kutumika Tanzania lakini hatukuwahi kupata ni asilimia ngapi ya watu ambao hawatazami Tv kutokana na kukosa vinga’muzi.

Taarifa imetufikia kwamba utafiti wa haraka uliofanywa na umoja wa wamiliki wa vyombo vya habari MOAT umeonyesha kwamba kwa Dar es salaam pekee, ni zaidi ya asilimia 75 ya Watanzania haitazami channel za TV za nyumbani toka kuzimwa kwa mitambo ya analog ndio maana umoja huo bado umeendelea na msimamo wa kuitaka serikali kuangalia upya uwezekano wa kurudisha matangazo ya analog kwanza.

Haya ni maelezo ya mwenyekiti wa MOAT Reginald Mengi: “Watanzania wapewe muda kujiandaa ili kutoka analog kwenda digital ifanyike vizuri na kwa mafanikio makubwa, pendekezo letu lilikua ni kwamba analog na digital ziende sambamba mpaka tufike mahali tuone kwamba watu wengi kama sio wote wana vyombo vya kuwawezesha kwenda digital, hilo lifanyike kabla ya tarehe 17 june 2015 ambayo ndio siku ya mwisho ya kutumia analog”

Monday, March 18, 2013

my izac: CHRIS BROWN GET KARRUECHE TATTOO REMOVED

my izac: Darasa Ft Winnie - Nishike Mkono ( Official Video ...

my izac: Darasa Ft Winnie - Nishike Mkono ( Official Vide
Darasa Ft Winnie - Nishike Mkono ( Official Video )

Darasa Ft Winnie - Nishike Mkono ( Official Video )

HATIMAYE AGNESS MASOGANGE ATUPIA PICHA ZAKE INSTAGRAM


.



AIBU: PICHA ZA UCHI ZA MSANII SAPNA WA STEVE R & B ZADAKWA.....




WAKATI mabinti wengi hasa mastaa wa Bongo wakijuta baada ya picha zao za utupu walizopigwa na wapenzi wao kuvuja, kwa msanii mrembo aliyepamba video ya wimbo wa Bongo Fleva uitwao Jambojambo wa msanii Steve R&B, Aisha Firozi ‘Sapna’ ni kawaida kwani hujifotoa mwenyewe.

Chanzo makini cha Risasi  kimewasilisha folda lenye picha za kutosha za mrembo huyo akiwa mtupu huku kikieleza kwamba ni mchezo wake kujipiga mwenyewe picha hizo.  

Kwa sharti la kutochorwa jina lake , chanzo hicho ambacho kipo  aribu na Sapna kilisema: “Yule ni mtu wangu wa karibu sana, lakini tabia yake kwa kweli huwa siipendi kabisa. Anajipiga picha chafu mwenyewe, kwake ni starehe kubwa, huwezi kuamini.”

  Kikiendelea  ufunguka zaidi, chanzo hicho kilipasha kuwa, picha hizo amejipiga hivi karibuni nyumbani kwa rafiki yake aitwaye Doreen, Tabata - Magengeni jijini Dar es Salaam, ambapo alikuwa akiishi naye.

KAULI YA  SAPNA.....
Ukistaajabu ya Musa utayaona ya Firauni; Sapna alipopigiwa simu  na kuelezwa kuhusu kunaswa kwa picha hizo, kwanza alishangaa lakini akakiri kuzitambua.


“Hizo kweli ni picha zangu na nilijipiga mwenyewe sasa sijui wewe umezipataje na zimefi kaje huko kwenu? Mimi nilipiga kwa masilahi yangu mwenyewe, huwa natamani sana kujiangalia jinsi umbo langu lilivyo, ndiyo maana niliamua kujipiga na si vinginevyo.


“Kila mtu na maisha yake na mimi sikuwa na dhamira mbaya kujipiga picha hizo zaidi ya kujiangalia tu nilivyo,” alisema Sapna.

Rich Mavoko - One Time (Official Video)



Rich Mavoko - One Time (Official Video)