Tuesday, March 26, 2013

KILA MSICHANA ANATAKIWA KUWA NA MAPENZI YA KWELI KWA MWENZA WAKE.JUST REMEMBER LOVE IS PAIN NO DOCTOR CAN EXPLAIN.UPENDO NI BORA KULIKO USALITI.MUNGU KASEMA MPENDE JIRANI YAKO KAMA UNAVYOJIPENDA MWENYEWE. MAPENZI NI UGONJWA ACHWA UONE.

SOTE NI BINADAMU TUKUMBUKE MAPENZI NI KUPENDANA NA SIO KUUMIZANA JITAHIDI KUMPENDA AKUPENDAYE KWA DHATI NA SIO KWA PESAENDAPO UTAMPENDA MTU KWA ELIMU YAKE HUWEZI KUWA NA MAPENZI YA DHATI KWASABABU AMBAO HAWAKUSOMA WAPENDWE NA NANI?

TUWE NA MSIMAMO,UPENDO,UAMINIFU,KATIKA SUALA ZIMA LA MAPENZI.TUACHE TAMAA KATIKA MAPENZ NA TUKUMBUKE KUNA GONJWA LA UKIMWI. SINA MENGI YA KUSEMA KATIKA SUALA LA MAHUSIANO NA MAPENZI.ASANTENI WOTE MLIOSOMA MAWAZO YANGU.NAMPENDA MUNGU

No comments:

Post a Comment