Heshima kwenu wadau,sasa hivi kuna trend kubwa ya wasichana ambao kidogo unakuta wamejaaliwa kupata walau kipato cha kawaida tu na kuamua kutoka nyumbani kwao kwenda kupanga chumba.....
Je hili mnalionajae liko sawa au sio sawa?....
Wazazi wengine wanaamini kuwa hata kama binti amejaaliwa kupata kazi basi akae kwao mpaka mungu atakapojaalia kumpa mwenza wa ndoa....
Unasemaje kaka, dada, mjomba, baba au mama juu ya hili???
No comments:
Post a Comment