ZZO BIZNESS KUTOKA NA SINGLE MPYA"LOVE ME"
Top Talent
Rapper kutoka Mbeya City, Izzo Bizness baada ya kuona mashabiki wanazidi kukubali kazi zake katika sanaa ya muziki,sasa yuko tayari kuachia ngoma yake nyingine mpya itakayokwenda kwa jina ya LOVE ME .
Izzo Bizness akiongea na mtandao huu alisema katika ngoma hiyo mpya anayotarajia kuichia siku za hivi karibuni amewapa collabo wasanii wawili ambao ni Barnaba na Shaa,chini ya producer Nahreel na mixing Master J kutoka Mj record.Kwa hiyo wale mashabiki wa Izzo B kaeni tayari kwa ujio huo mpya.

No comments:
Post a Comment