Saturday, April 6, 2013

JAY Z BEYONCE NDANI YA CUBA KUSHEREHEKEA ANIVERSARY YAO




Top Talent:  katika kusherehekea miaka hiyo 5 inasemekana Jay na Bey wamesafiri na familia yao wiki hii kuelekea Havana kwenye sherehe hiyo muhim
Rap-up.com wameripoti kuwa wawili hao wameungana na mama zao wote wawili
(Tina Knowles and Gloria Carter) kwenye safari hiyo na kutembelea sehem mbali mbali katika mji huo wa kihistoria ikiwa ni pamoja na Colonial Old Havana

Beyonce na Jay-Z walioana kisiri siri april 4 2008, kwenye sherehe zilizofanyika kwenye apartment ya Jay Z iliyoki New York, wageni waalikwa wakiwemo Chris Martin, Kelly Rowland, Gwyneth Paltrow, na Michelle Williams.

No comments:

Post a Comment