kama unakumbuka vizuri mwishoni mwa mwaka uliopita, watu waliamua kuzungumza na kumkosoa msanii Bonta kutokana na mstari uliyokuwa kwenye wimbo wake "matusi" unaosema "nina thamani zaidi ya bikira, maria.........mstari uliomfanyakukosolewa kujitetea sana kwa kutokuwa na maana ya watu walivyoutafsiri na kusema umetafsiriwa vibaya.
leo hii jambo hilohilo limemkuta Ricky Ross baada ya mashabiki kummindi kwa mistari yake iliyokwenye ngoma "You Ain't even Know It" ambapo anaskika akirap
"Put molly all in her champagne, she ain't even know it / I took her home and enjoy that, she ain't even know it."
na kupelekea radio station "Michigan" kupiga nyimbo za Rossey mpaka atakapoomba radhi na petition kumtaka kuomba radhi kwa mashairi hayo ambayo yanaonekana kuchochea ubakaji
katika kujitetea kupitia radio Q93.3 Ross amesema
"nataka kuhakikisha hii inakaa sawa, mwanamke ni zawadi nzuri sana kwa mwanaume, urmeelewa?ni kutokuelewa tu huu mstari, na kuutafsiri vibaya wakati sijatumia neno kubaka, siwezi kutumia neno kubaka katika kazi zangu"
Ross amehakikisha kuwa hakuna mtu yoyote chini ya Maybach Music Group anaesapoti ubakaji
"
assured that no one in the Maybach Music Group camp was a supporter of rape. "And as far as my camp, Hip Hop haisapoti, mitaa haisapoti hiyo, hakuna mtu yoyote anaesapoti ubakaji umeelewa?.naomba kuwaambia ma gueen waote na sexy ladies na warembo wote kwenye timeline yangu kuhusu kutokuelewa kwa mstari huo, hatusapoti ubakaji na sijihusishi nayo." amesema Ross.
No comments:
Post a Comment