Mambo yanayofanywa na kundi la kanga moja ni ya aibu sana kwa sababu ni uchafu unaotendeka mbele ya watoto......
Mwanamke hujifunga kanga moja tu bila chupi wala chochote ndani.Baada ya hapo humwagiwa maji kitu ambacho huanika kila kitu hadharani......
Kama haitoshi, akimwagiwa maji, wenzie huanza kumtia chupa matakoni hali inayoashiria VITENDO VYA ULAWITI......
Tunawafundisha nini watoto???..Tunaifundisha nini jamii na kizazi cha kesho????
No comments:
Post a Comment