Monday, April 8, 2013

SHAMSA AFAGILIA UCHUMBA KULIKO NDOA

Na Issakwisa Mponi

ACTRES ndani ya Bongo Movies, Shamsa Ford ametoa kali ya aina yake baada ya kusema anajivunia kudumu kwenye uchumba kuliko ndoa.
Shamsa Ford.
Shamsa aliyasema hayo juzikati katika Viwanja vya Leaders Club, jijini Dar alipokuwa akipiga stori na mashosti zake ndipo aliposikika akitiririka kuwa anastahili kupongezwa kwa kuwa amedumu katika uchumba na mpenzi wake kwa zaidi ya miaka mitano.

“Jamani  mnapaswa kunipongeza kwa hatua niliyofikia kwani kulea uchumba kwa miaka mitano syo mchezo. Nyie…
Na Issakwisa Mponi
ACTRES ndani ya Bongo Movies, Shamsa Ford ametoa kali ya aina yake baada ya kusema anajivunia kudumu kwenye uchumba kuliko ndoa.
Shamsa Ford.
Shamsa aliyasema hayo juzikati katika Viwanja vya Leaders Club, jijini Dar alipokuwa akipiga stori na mashosti zake ndipo aliposikika akitiririka kuwa anastahili kupongezwa kwa kuwa amedumu katika uchumba na mpenzi wake kwa zaidi ya miaka mitano.
“Jamani  mnapaswa kunipongeza kwa hatua niliyofikia kwani kulea uchumba kwa miaka mitano syo mchezo. Nyie mnawapongeza walio kwenye ndoa tu sisi wengine hamtuoni?” alihoji Shamsa huku Sabrina Rupia ‘Cathy’ akimtaka kukamilisha suala la ndoa haraka.

No comments:

Post a Comment