CHEKA AMEENDELEZA UBABE KATIKA ULINGO WA NDONDI HAPA NCHINI BAADA YA KUTETEA UBINGWA WAKE BAADA YA KUMTANDIKA MAKONDE MPINZANI WAKE THOMAS MASHALI KATIKA PAMBANO LA MASUMBWI NA KUSHINDA KWA KNOCKOUT KATIKA RAUNDI YA 10.
Bondia Shabani Mhamila 'Star Boy' akishangilia ushindi huku akiwa amebebwa juu juu kama mkungu wa ndizi |
Bondia Cosmas Cheka kushoto akipambana na Charles Mashali wakati wa mpambano wao uliofanyika katika ukumbi wa PTA Sabasaba siku ya mei mosi Cheka alishinda kwa ponti mpambano hilo |
Kocha wa Kimataifa wa Mchezo wa Masumbwi Rajabu Mhamila 'Super D' akimsindikiza wakati wa kupigana bondia Ibrahimu Class 'King class Mawe wakati wa mpambano wake na amos mwamakula |
Bondia Amos Mwamakula kushoto na Ibrahimu Class 'King Class mawe' wakisubili matokeo ambapo class alishinda kwa point |
Bondia Thomas Mashali kushoto akioneshana umwamba wa kutupiana makonde na Fransic Cheka katika ukumbi wa PTA Sabasaba Dar es salaam Cheka alishinda kwa KNOCKOUT |
Shomari kimbau akiwa na Cheka baada ya kumvisha ubingwa wa IBF Africa aliokuwa akiutetea |
No comments:
Post a Comment