Thursday, February 28, 2013

DURING THE MAKING OF JAMBO JAMBO VIDEO


PETTY FT. GODZILLA & STEVE RnB


Brand New video from JERRY MUSHALA STUDIOS (JMS), watch in HD......

WIZI WA KUTISHA NDANI YA UWANJA WA NDEGE DAR



Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere 
 
IMEBAINIKA kuwapo kwa wizi wa kutisha katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA), Dar es Salaam, huku magari ya Kikosi cha Zimamoto na Uokoaji yakitajwa kwamba yamekuwa yakivusha vifaa vya wizi kutoka ndani ya uwanja huo.
  
Wizi huo ambao umewasababishia hasara kubwa baadhi ya wasafiri wakiwamo wafanyabiashara, abiria wa kawaida na watalii wanaoingia nchini, unadaiwa kufanywa na baadhi ya wafanyakazi wa Wakala wa Mizigo wa Kampuni ya Swissport.
  
Wafanyakazi hao wamekuwa wakiiba vifaa na bidhaa kwa kuchana mabegi ya abiria kisha kuviweka kwenye makoti yao ya kazi lakini kwa mizigo mikubwa, wamekuwa wakiificha kwenye magari ya zimamoto ambayo huingia na kutoka ndani ya uwanja wa ndege bila kufanyiwa ukaguzi.
  
Chanzo kingine cha habari katika uwanja huo kinasema magari ya zimamoto yanayofanya kazi katika uwanja huo hayakaguliwi yanapopita kwenye lango kuu, hivyo kutoa mwanya wa kuvushwa kwa mali za wizi.
  
“Mali zinazowekwa katika magari hayo ni zile kubwa ambazo hutakiwa kuuzwa nje ya uwanja wa ndege kama kontena la simu au mabegi makubwa ya nguo,” kilisema chanzo hicho.
  
Baadhi ya waathirika wa wizi huo waliliambia gazeti hili kwamba wamepoteza mizigo mingi kwa nyakati tofauti na kupata hasara kubwa na kwamba uwanja huo si salama kwa wafanyabiashara hasa wanaoingiza bidhaa zao kutoka nje ya nchi.
  
Chanzo chetu katika uwanja huo kilidokeza kuwa mara nyingi wizi hufanyika wakati mizigo inaposhushwa kutoka kwenye ndege kupelekwa eneo la kusubiri kuchukuliwa na abiria pia wakati mizigo mingine inapohifadhiwa kwenye stoo uwanjani hapo ikisubiri wahusika kuichukua.
  
“Wakati wanashusha mizigo kutoka kwenye ndege wanaikata kwa visu au viwembe vikali na kuchomoa chochote kilichomo kisha wanaweka katika makoti ya kazi ambayo yana mifuko mikubwa,” kilieleza chanzo hicho.
Mkurugenzi Mtendaji wa Swissport Tanzania, Gaudence Temu alikiri kuwapo kwa tatizo hilo lakini akasema kampuni yake kwa kushirikiana na wadau wengine uwanjani hapo wamekuwa wakichukua hatua za kudhibiti wizi huo.
“Huu wizi unaharibu sifa ya uwanja wa ndege wa kimataifa, ndiyo maana tukasema hatutakuwa na uvumilivu hata kidogo kwa wale ambao tunabaini kwamba wanafanya vitendo hivyo,” alisema Temu.
Kamishna Msaidizi wa Zimamoto na Uokoaji, Sikiri Sala alisema amekwishazungumza na Kikosi cha Zimamoto Uwanja wa Ndege kuhusu suala hilo ambalo hata hivyo, alisema ni zito na linahitaji ushirikishwaji wa viongozi wote kwa kuwa uwanja huo una mashirika mengi.

MWANAMZIKI AMUITA SHABIKI JUKWAANI NA KUANDA "KUDENDEKA" NAYE






 Baada ya Mziki kukolea Msanii Akimuita shabiki stajini ili wacheze naye lakini mambo yalikolea zaidi pale walipojikuta wana kisiana stejini kitu kilichosababisha minongono kwa mashabiki


PICHA ZA NICK MINAJ AMBAZO MATITI YAKE YAKO WAZI HADHARANI ZASAMBAA





,Ni picha  za  utengenezaji  wa  video yake mpya.....
.


Mwanamuziki wa kizazi kipya anaetamba na ngoma yake mpya ya MAHAKAMA YA MAPENZI, Linex amemvalisha pete ya uchumba mpenzi wake.


Linex ambae pia anatamba na ngoma zake kama Moyo Wa Subira, Mama Halima, Ngekewa, Aifola na nyingine nyingi amemvalisha pete wakiwa waili tu mchumba wake huyo mweye asili ya Finland anaefahamika kwa jina la Suvi.


Linex amechukua uamuzi wa kufanya kitendo hicho kwa siri kwa sababu ameona haikuwahusu watu wengi wajue maana ni kitu ambacho kinawahusu wao wawili tu.

new Project From Jerry Mushara


NEW PROJECT BY JERRY MUSHALA



Directed, Shot and Edited By JERRY MUSHALA Artist: STEVE RnB Song: JAMBO JAMBO FOR FILM MAKERS Used Canon T2i/550d + canon 17-4

my izac: CHRIS BROWN GET KARRUECHE TATTOO REMOVED

my izac: CHRIS BROWN GET KARRUECHE TATTOO REMOVED: It's reportedly Chris Brown is undergoing painful session of laser treatment to get his ex's face off his left arm. Chris ...

CHRIS BROWN GET KARRUECHE TATTOO REMOVED



It's reportedly Chris Brown is undergoing painful session of laser treatment to get his ex's face off his left arm.
Chris Brown is finalizing his breakup from Karrueche and back with his super star girlfriend Rihanna by erasing the ex girlfriend from his arm forever.
Looking closely at the picture from Chris and Rihanna Hawaiian vacation, you can clearly see Karrueche's face dissappearing into the darkness. What used to be clear, this shows how Chris has totaly erase Karrueche in his life and happy in love with Ririri.
My advice, its a bad idea to tattoo your partner face in your body, Tattoo are permanent but relationship aren't! So my advice is to keep your girlfriend or boyfriend off your body in future.
 

GODZILLA , STEVE RNB & PETTY (BEHIND THE SCENE SHOTS)


GODZILLA , STEVE RNB & PETTY (BEHIND THE SCENE SHOTS)
Some Random shots of upcoming music Video performed by PETTY FT. GODZILLA & STEVE RnB -- (NAUMIA MOY

DOLE - Mabeste Ft. Deddy - OFFICIAL MUSIC VIDEO


DOLE - Mabeste Ft. Deddy - OFFICIAL MUSIC VIDEO
A BRAND NEW MUSIC VIDEO FROM NISHER ENTERTAINMENT, ( DOLE- MABESTE FT. Deddy - Official Music Video ) SHOT IN Dar es Salaam TANZANIA....MUSIC

NDOA YA AUNT EZEKIEL "INAPUMULIA MASHINE"


NDOA YA AUNT EZEKIEL "INAPUMULIA MASHINE"




KUMEKUWEPO na vijineno vya chinichini kuwa eti ndoa ya msanii maarufu wa filamu Bongo, Aunt Ezekiel aliyofunga hivi karibuni na Sunday Demonte haipo na wabaya wake wamekuwa wakieneza taarifa hizo kwa kasi ya ajabu.Wakizungumza na gazeti hili kwa nyakati tofauti, watu waliodai ni mashosti wa karibu wa staa huyo walisema wamebaini dalili za wazi kuwa ndoa yake imeyeyuka.
“Mimi ndiyo nawaambia sasa, kama mlikuwa hamjui ndoa ya Aunt haipo. Fuatilieni mtabaini ukweli wa hiki ninachowaambia.

“Nyie si mjiulize mbona tangu amerudi kutoka Dubai hajaenda tena kumfuata huyo mumewe? Si alisema amekuja kuweka mambo yake sawa kisha anakwenda kuifurahia ndoa yake, kiko wapi sasa?” alihoji mmoja wa wanyetishaji hao aliyeomba jina lake lisiandikwe gazetini.

Mwingine aliyekuwa mmoja wa waliofanikisha ndoa ya Aunt kwa kiasi kikubwa ambaye naye aliomba jina lake liwekwe kapuni alisema: 
“Hata mimi nina mashaka na hii ndoa ya huyu mwenzetu, lakini iwe imevunjika, haijavunjika sisi haituhusu, kila mtu ana maisha yake bwana.”

Katika kujua ukweli wa madai haya, mwandishi wetu alimtafuta Aunt na alipotakiwa kulizungumzia hilo alisema:

“Tuna mipango yetu mimi na familia ndiyo maana Sunday yupo Dubai na mimi huku. Sipendi kuongelea mambo ya ndoa yangu magazetini lakini kwa kifupi ipo sawa.”

MAMA KANUMBA AJA NA ' WITHOUT DADDY'




FLORA Mtegoa ambaye ni mama mzazi wa aliyekuwa mwigizaji wa filamu za Bongo, Steven Kanumba (marehemu sasa), ameigiza filamu ya Without Daddy akiwa na watoto na wasanii walioshiriki katika filamu ya Bigg Daddy ya marehemu Kanumba. 
Mama Kanumba ambaye amedai kuwa filamu hiyo ni mwendelezo wa filamu ya mwanaye na kwamba baada ya filamu hiyo hataigiza tena. 

Nimeigiza katika filamu ya Without Daddy katika kuonyesha uwezo katika uigizaji, lakini sidhani kama naweza kuigiza filamu nyingine tena, ni kazi ngumu na inahitaji muda sana. Pia nisingependa kuwa mwigizaji wa moja kwa moja, anasema Mama Kanumba. 
Katika filamu hiyo nyota walioshiriki ni Cathy Rupia, Ben Blanco, Muhogo Mchungu, Bi. Mwenda, Patcho Mwamba Tajiri Othuman Njaidi Patrick,Wastara Juma na wengineo.

D.O.P Raymond Kasoga msetting Camera before the Shot with Tanzania Artist Linah Sanga On Set. with The Dream Videoz. — with M

HE MAKING OF MENINA ATICK (BSS 2012) VIDEO BY THE DREAM VIDEOZ....CATCH US IF U CAN.......



T

TIMBULO AKAMATWA NA DAWA ZA KULEVYA BURUNDI



Kuna tetesi kuwa msanii wa Bongo flava maarufu kwa jina la Timbulo, ambaye amepata umaarufu mkubwa kutokana na umahiri wa kuimba katika nyimbo zake kadhaa kama  Domo Langu, Waleo Wakesho, Samson na Delilah, amekamatwa mjini Bujumbura kwa tuhuma za kukutwa na madawa ya kulevya. Timbulo alikuwa huko katika kufanya mipango ya kufanya maonyesho kadhaa nchini Burundi mwezi April mwaka huu.

Hatuna mpango wa kuwasaidia waliofeli kidato cha lV-Mulugo



Thursday, February 28, 2013
Naibu Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi, Philipo Mulugo, amesema wizara haina mpango wowote kwa sasa kuhusiana na wanafunzi waliofeli kidato cha nne mpaka pale Tume itakapomaliza kufanya kazi yake ndipo itaamua nini cha kufanya. Mulugo aliliambia NIPASHE kuwa wizara inasubiri Tume iliyoundwa na Waziri Mkuu, Mizengo Pinda, imalize kufanya kazi yake, ndipo itatoa uamuzi nini kifanyike juu ya wanafunzi hao.

“Kwa sasa siwezi nikasema chochote kwani tume imeundwa ili kulifanyia kazi jambo hilo, hivyo tunasubiri wamalize kufanya kazi yao ndipo tutatoa kauli ya nini kifanye juu ya wanafunzi walio feli kama ni kurudia tena mtihani au la,” alisema Mulugo.

Alitoa ufafanuzi huo baada ya kuulizwa wizara yake inazungumziaje juu ya mpango wa Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Iringa, Jesca Msambatavangu kuandaa mafunzo ya kozi ya muda mfupi kwa vijana wote waliofeli mkoani humo ili kuwapima kama wapo wanaaoweza kusaidiwa kuendelea na elimu ya cheti.

Msambatavangu alitoa uamuzi huo baada ya makubaliano yake na baadhi ya vyuo vikuu kama Chuo Kikuu cha Tumaini (IUCO) na Chuo kikuu cha Ruaha (Ruco) na kukubaliana kutoa mafunzo hayo yatakayo anza Machi mwaka huu. 

Mulogo alisema kuwa ni wazo lenye mpango mzuri wa kuwasaidia vijana wengi ambao ni kama wamekumbwa na tatizo kwa sasa, hivyo anacho kifanya Mwenyekiti huyo hakina madhara yoyote  na anafanya kama raia mwema aliyeguswa na matokeo hayo