Sunday, March 10, 2013

isacc seth ..... the dir

Wise One ft Jaco Beats - Malaika (Official HD Video)


GODZILLA , STEVE RNB & PETTY (BEHIND THE SCENE SHOTS)


PETTY FT. GODZILLA & STEVE RnB --- NAUMIA MOYO (OFFICIAL VIDEO) 720p HD Directed, Shot and Edited By JERRY MUSHALA Artists: PETTY FT. GODZILLA & STEVE RnB Song: NAUMIA MOYO Prod: C9 FOR FILM


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete amemtumia salamu za



Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete amemtumia salamu za pongezi nyingi Rais Mteule wa Jamhuri ya Kenya, Mheshimiwa Uhuru Kenyatta.
Katika salamu hizo zilizotumwa leo, Jumamosi, Machi 9, 2013, saa chache baada ya kuthibitishwa rasmi kuwa Mheshimiwa Kenyatta ameshinda Uchaguzi Mkuu wa Kenya uliofanyika mwanzoni mwa wiki hii Jumatatu, Machi 4, 2013, Rais Kikwete amemwambia Mheshimiwa Uhuru Kenyatta:
“Mpendwa Rais Mteule na Kaka, ilikuwa ni furaha kubwa kwangu kupokea taarifa ya ushindi wako wa kuchaguliwa kuwa Rais wa Jamhuri ya Kenya. Niruhusu, kwa niaba ya Serikali na Wananchi wa Tanzania, na kwa hakika, kwa niaba yangu binafsi kukupogenza kwa dhati ya moyo wangu kwa mafanikio haya makubwa ya kuchaguliwa kwako.”
Ameongeza Rais Kikwete: “ Ushindi huu ni ushahidi na ishara ya wazi kabisa ya imani na matumaini ambayo wananchi wa Kenya waliyonayo katika uongozi wako. Huu ni utambuzi wa kazi yako maridadi na mchango wako mkubwa ambao umeutoa katika nafasi mbali mbali za uongozi katika siku za nyuma katika jitihada zako za kuleta maendeleo ya kiuchumi na kijamii na ustawi wa nchi yako na wananchi wake.”
Amesisitiza Rais Kikwete: “Wakati unajiandaa kuchukua madaraka ya juu zaidi katika nchi yako, napenda kukuhakikishia msimamo wangu binafsi pamoja na ule wa Serikali yangu wa  kuunga mkono Serikali yako. Ni imani yangu kubwa kwamba pamoja tutaweza kuendelea kusukuma mbele zaidi maendeleo ya nchi zetu – Kenya na Tanzania na pia utengamano wa Afrika Mashariki kwa manufaa ya nchi zetu na wananchi wake.”
Imetolewa na:
Kurugenzi ya Mawasiliano ya Rais,
IKULU
DAR ES SALAAM

The Dream Videoz,D.O.P Raymond Kasoga...Contact The Dream Videoz Call +255 713349128 for Business.

Photo: D.O.P Raymond Kasoga Making Editing of Menina Music Video called Dream Tonight  Under  The Dream Videoz,Call +255 713349128 for Business.   D.O.P Raymond Kasoga Making Editing of Menina Music Video called Dream Tonight Under The Dream Videoz,Call +255 713349128 for Business.
boni.Photo: D.O.P Raymond Kasoga making Editing of Dream Tonight from Menina who was BSS 2012,The Video made under The Dream Videoz.Soon will be on Youtube.Photo: Director of Photograph (D.O.P) Raymond Kasoga withBest Friend King Salehe at Location In Kigamboni during the Menina Music Video. Director of Photograph (D.O.P) Raymond Kasoga withBest Friend King Salehe at Location In Kigamboni during the Menina Music Video.Photo: D.O.P Raymond Kasoga from The Dream Video on the Set making Menina Music Video at Kigamboni.Contact The Dream Videoz Call +255 713349128 for Business.Menina On The Set making Dream Tonight Music Video Under The Dream Videoz,D.O.P Raymond Kasoga

D.O.P Raymond Kasoga from The Dream Video on the Set making Menina Music Video at Kigamboni.Contact The Dream Videoz Call +255 713349128 for Business.