Tuesday, May 7, 2013

MISS KENYA , SHAMIM NABIL AKANUSHA KUGAWA PENZI KWA MR. NICE




Hivi karibuni mitandao ya nchini Kenya iliandika tetesi kuwa huenda Miss Kenya wa sasa, Shamim Nabil anadate na Mr. Nice aliyehamia nchini humo na kwamba walionekana na paparazzi wakila bata pamoja.
  

Kutokana na tetesi hizo, Shamim ameamua kuzungumza na kukanusha kuwa kamwe hawezi kuwa mpenzi wa Nice Mkenda.
thumb.php
Amesema amekuwa akimfahamu staa huyo tangu akiwa mdogo na Nice si mwanaume wa aina yake.

MISS KENYA , SHAMIM NABIL AKANUSHA KUGAWA PENZI KWA MR. NICE




Hivi karibuni mitandao ya nchini Kenya iliandika tetesi kuwa huenda Miss Kenya wa sasa, Shamim Nabil anadate na Mr. Nice aliyehamia nchini humo na kwamba walionekana na paparazzi wakila bata pamoja.
  

Kutokana na tetesi hizo, Shamim ameamua kuzungumza na kukanusha kuwa kamwe hawezi kuwa mpenzi wa Nice Mkenda.
thumb.php
Amesema amekuwa akimfahamu staa huyo tangu akiwa mdogo na Nice si mwanaume wa aina yake.

JACK WOLPER AKANUSHA KUTUPIWA VITU VYAKE NJE BAADA YA KUSHINDWA KULIPIA KODI YA NYUMBA



 

Baada ya story ya mwanadada Jacqueline wolper kutolewa nje pamoja na vitu vyake kuzagaa kwenye vyombo vya habari hususani magazeti, tuliamua kumtafuta mwanadada huyu ili tupate ukweli wa jambo hilo na kuamua kumtafuta hewani

Mwandishi: Mambo Jack, mzima wewe? Jacqueline Wolper: Mi mzima, vipi salama?

Mwandishi: Salama kabisa, vipi kuhusu hii habari ya kutolewa vitu nje ya nyumba? Nini tena kimetokea?
 
Jacqueline Wolper: Hiyo habari sio ya ukweli kama ilivyo, ukweli ni kwamba  sijatolewa vitu ila nimehama sehemu niliyokuwa nakaa na kuhamia sehemu nyingine

Mwandishi: Kitu gani kilitokea mpaka kukawa na hizi habari za kutolewa vitu nje? Na ulikuwa unakaa wapi?
 
Jacqueline Wolper: Mwanzo nilikuwa nakaa ,Mbezi beach, kwenye apartment ya kama USD 1500 kwa mwezi, na nilikuwa nakaa mwenyewe, na kama unavyojua huwa nawalea wadogo zangu na muda huo walikuwa wapo chuo. Ila walipomaliza nikaona badala ya mimi kukaa mwenyewe ni bora nitafute nyumba nyingine mbili ili wakae wenyewe na mimi nikae mwenyewe. 

Ndo maana nikahama huko mbezi beach. Sa sijui hao wanaosema nimetolewa vitu nje wanatoa wapi hayo maneno. Labda kama walipiga picha wakati nahama na kuamua kujitengenezea stori.
 
Mwandishi: Unahisi ni kwanini wameandika kuwa umetolewa vitu nje?
 
Jacqueline Wolper: Mmmh! Siwezi kujua na wala hainisadii, maana sio kweli. Mi sukuona sababu ya kulipa hizo hela kwa mwezi wakati naweza kukaa kwenye nyumba nzuri ya $800 au mia $900 kwa mwezi na nikawatafutia wadogo wangu nyumba nao wakae kwa gharama hiyo hiyo na kwa uhuru wao. 
  
 Kwangu mimi haina maana hata kidogo kwa sasa kulipa hela zote bila sababu, Wakati nipo mwenyewe ilikuwa sawa ila sasa it doesn’t make sense at all. Kuna mambo mengine ya muhimu ya kufanya. Na isitoshe suala la foleni. So sijui waliondika hivyo wanatafuta nini kwangu.
  
Mwandishi: Basi tunashukuru sana Jack kwa maelezo yako.
  
Jacqueline Wolper: Asanteni sana


JUU ni baadhi ya Picha za nyumba anayoishi jackline wolper sasa baada ya kuhama mbezi
Bongomovie

LIVE: SALAMA JABIR "AKIBADILISHANA MATE" NA NJEMBA HADHARANI




Mambo  vipi  mpekuzi....

Katika  pitapita   zangu nimefanikiwa  kumnasa  live  Salama Jabir  akinyonyana  ndimi  bila  chenga  na  mwenzake...!!


Nashindwa  kuthibitisha  huyo  wa  pili  ni  nani  na  ni  jinsia  gani....nikimwangalia  haraka  haraka  naona  kama  ni  mwanaume  na  namfananisha  na  mdogo  wake    Wema   Sepetu  aitwaye  Bill Sepetu.....

Nikijaribu  kukaza  macho  kwa  kwa  makini,  huyo  wa  pili  namuona  kama  ni  mwanamke  kutokana  na vazi  lake.Hicho  cha  mabegani  nakifananisha   na  sidiria  za  akina  dada....!!

Yaani  nimeumiza  macho  mpaka  yanauma...Nashindwa  kuyaamini  macho  yangu  kuhusu  Salama Jabir.Sikutegemea
..!!


Ni mimi,
Mdau  wenu...