LOVENESS LOVE ''DIVA'' AJUTA KUGAWA PENZI KWA MO RACKA
Diva alhamisi iliyopita alifunguka kuhusu kosa kubwa alilolifanya katika maisha yake tangu azaliwe. Na alichosema kajuta ni kua na uhusiano wa kimapenzi na msanii Mo Racka. Hiki ndicho alichokiandika Twitter jana usiku
No comments:
Post a Comment