Vicent Kigosi” Ukimuona kwasasa lazima Ulie” Mwanamke huyu amwangukia Ray Miguuni uku akilia kwa uchungu baada ya……
Katika ile ishu ambayo imeendelea kudhihirisha kwamba wasanii wetu wa bongo wanakubalika sana nje ya bongo zaidi tunavyowakubali hapa bongo baada ya hili tukio lililotokea huko Rwanda. Wiki kadhaa zilizopita msafara wa wasanii wa bongomovie ukimjumuisha JB,Ray,Irene Uwoya na Mzee Majuto walienda kwenye tuzo za movie pande za Rwanda mambo yalikuwa kama hivi.
Mastaa wa hawa wa bongomovie waliingia mmoja mmoja kwenye ukumbi wa Serena Hotel huku wakipewa shangwe kubwa na pia kupewa nafasi ya kutua tuzo kubwa za usiku huo kama za msanii bora wa kike na wakiume.
Baada ya shughuli nzima kuisha kuna shabiki mmoja ambaye Ray mwenyewe alimuita mdau, alimuendea Ray na kumuangukia miguuni kama ishara ya kuikubali kazi yake.Mwisho wa siku waliishia kupiga picha pamoja.
Bila kusahau balaa la dada Irene Uwoya akiwa pande za Rwanda ni balaa lazima watu watafutane, kila anapotembea iwe kwenda kwenye stage au toilet. Basi haendi peke yake,alikuwa na ulizi binafsi bouncer akitangulia mbele yake kabla hajapita. Kama kawaida picha zinaongea zaidi ya maneno, cheki hapo down.
Posted by Eric Nyandwi
No comments:
Post a Comment