Thursday, April 4, 2013

MSANII WA BONGO FLEVA MOMBA APATA AJALI MBAYA YA PIKIPIKI



 

 Msanii mkali wa ngoma kali za bongo fleva kama Hit song song yake aliyomshirikisha SIR JUMA NATURE MDUNDIKO amepata ajali ya pikipiki jana maeneo ya kigamboni na kuumia vibaya maeneo ya miguuni na mikononi akiongea na mwandishi wetu chanzo cha habari hii kimesema kwa sasa momba anaendelea vizuri sana.na ameshatoka hospital alipopelekwa kwa matibabu.

 Momba na juma nature

hyper hk inampa pole sana nakumuombea aendelee salaama na kupata nafuuu

No comments:

Post a Comment