Angelita ni binti anayeamini kuwa mapenzi bila pesa hayapo hapa duniani......
Anadai kuwa mwanaume akimwambia asipende pesa zake huyo ni mdanganyifu na hafai kumili mwanamke yeyote yule.....
Hii ni kauli yake niliyokutana nayo facebook
"mmmh!!if i were a boy,nisingetaka mwanamke anaenipenda mimi kama nilivyo,ningetaka apende hela zangu ili nizidi kuzitafuta,na ukweli hamna mwanamke anaempenda mwanaume kama alivyo we all looking for someting,...
Sasa huo usemi wa kuambiana usipende pesa zangu nipende mimi sijui unatokea wapi,acheni kudanganywa jamni ukimpata mwanaume anakwambia nipende mimi na si pesa zangu my dear run.............
coz huyo kaplan kufa maskini au muoga wa maisha....u suppse 2 love them both!!!!!!"
No comments:
Post a Comment