Mrembo asiyeishiwa na vituko maarufu kwa jina na Masogange ameamua kuvunja ukimya wa muda mrefu kwa kuyanadi makalio yake.......
Kumbukumbu zetu zinaonesha kwamba Masogange ni miongoni mwa wasanii waliopata umaarufu nchini Tanzania kwa kupiga picha za uchi na kucheza movie za Uchi mithili ya wacheza XXXXX....
Ni matumaini ya wengi kuwa Masogange hutatuvulia nguo tena na badala yake utaishia kujinadi kwa HESHIMA..
Nasema hivi kwa sababu hata mwaka jana ulianza hivi hivi.Ulivyoona watu wamekupotezea uliamua kuvua nguo zote na kujianika mtupu,tena katika VIDEO ambazo zipo mtandao hadi leo....
No comments:
Post a Comment