Wednesday, April 24, 2013

CHANNEL 3 ZA NGONO ZARUHUSIWA KUONESHWA NA MAMLAKA YA MAWASILIANO YA AFRIKA KUSINI




Mamlaka ya mawasiliano nchini Afrika Kusini, ICASA, imeiruhusu kampuni ya matangazo ya TV (king’amuziki) ya TopTV kurusha channel tatu za ngono (porn) Playboy TV, Desire TV na Private Spice.



TV hizo zitakuwa zikionekana kuanzia saa 2 usiku hadi saa 11 alfajiri. Watazamaji watakuwa wakitumia namba ya siri kuziona TV hizo.

No comments:

Post a Comment