Habari ndugu mwandishi....
Natanguliza samahani kama nikuwakwaza kwa namna moja au nyingine.Kuna tatizo kuwa sana linalomkabili mpenzi wangu .
Kulipeleka kwa daktari tunaona aibu hivyo nikaona ni bora niombe ushauri kwanza kabla ya kuamua chochote.....
Ni kama mwezi sasa nimekua na mahusiano na huyu dada ambaye kwa sasa yuko chuo kikuu..
Ni dada mwenye sifa zote za kuitwa mwanamke.Nishakutana nae kimwili kama mara nne hivi na mwisho ilikua jana usiku...
Cha ajabu na kinachonishangaza ni kuwa wakati wa tendo ilikuwa ni lazma atoe haja kubwa japo si kwa wingi....
Nimejaribu kuchunguza kama ni mdau wa 0718 lakini anaonekana si muumini wa hayo mambo...
Nilipomuuliza kama ashawai bakwa siku za hivi karibuni amekataa,au kama ashawahi kutumia 0718 napo kagoma...
Mwenyewe pia eti hajui ni kwa nin imekua hivyo na anasema hali hiyo imemuanza wakati yuko na mimi....
Ni kitu ambacho kimenichanganya sana...Nimemuomba amuone daktari amegoma kabisa kwa kuogopa aibu.
Nifanyaje jamani..!!
No comments:
Post a Comment