Hii ni taarufa fupi toka TCRA walipoongea na clouds Fm kuhusu watanzania ambao hawajasajili line zao za simu......
Kama hujasajili line yako ya simu, Adhabu yake ni kifungo cha miezi mitatu jela, au faini ya Milioni 5 za kitanzania au vyote kwa pamoja
No comments:
Post a Comment