"Wanaume tumeumbwa mateso, bonge la party huku mumewe anafia gerezani...." Hivi ndivyo alivyofunguka mdau akielezea hisia zake kuhusu party hii ya kufuru iliyofanywa na Kajala Msanja wakati mumewe akiozea gerezani.
Pamoja na mateso yote waliyoyapa kajala na mumewe wakati wakisaka maisha kwa pamoja na hatimaye kujikuta wakiingia mahakamani, leo hii MKE wa mtu amesahau yote na kuamua kufanya party ya kufuru .....
Je yule aliyefungwa ni nani yako KAJALA???. Si alikuwa mumeo jamani ? Je akisikia wewe wafanya kufuru mtaani wakati yeye akiwa bado ananyea ndoo gerezani atakuelewaje ???.
Ni bora hiyo pesa mnayoitumia kwa fujo hapo, ungeenda gerezani na kumpelekea chochote mumeo na MUNGU ANGEKUBARIKI MARADUFU.....
PICHA ZA SHEREHE YA LAANA
wema na kajala
wema, dj fetty na kajala..
No comments:
Post a Comment