Wednesday, April 17, 2013

HII NI BALAA: HUYU NDIO MPENZI MPYA WA KAJALA......SOMA KILICHOANDIKWA .

 




        Kajala ambaye aliwahi kuwa mpenzi wa mtayarishaji wa muziki maarufu hapa Bongo “P-Funk” na kufanikiwa kupata naye mtoto mmoja, hivi sasa inasemekana ana-roll na mchizi mmoja ambaye ni member wa kampuni ya Endless Fame ya Wema Sepetu. Solid snitch wa bongomovietz.com ambaye amezipata za chinichini na ku-notice nyendo mbili tatu  za bootylicous actress Kajala Masanja kupitia BBM na mshkaji huyu.


 Directly unaweza kukubali kwamba yes, Jamaa na Kajala ni mtu na mpenzi wake kwa sasa. All is well, its a new life for Kajala and she deserve to love and to be loved. Best wishes kwenye kila anachokifanya hasaa kazi  yake ya movie.

No comments:

Post a Comment