Ashley Toto ni mwanadada msanii na mrembo ambaye anaishi Germany kwa sasa ....
Ashley yupo Germany kwa ajili ya kuutangaza utamaduni wa mwafrika halisi kupitia fani ya maigizo....
Mrembo huyo ameshatoa filamu ndogo kwa ajili yako mdau iliyopo hewani kwa sasa ili ujionee uwezo alionao katika fani hiyo......Jina la filamu hiyo ni "MOYO WANGU" na tumeipachika hapo chini ili uione Bure .....
LENGO la Filamu za Kiswahili zinazotengenezwa nchini Denmark chini ya kampuni ya VAD FILM PRODUCTION ni kuunganisha nguvu za kutangaza filamu na tamaduni za kiafrika nje ya bara la Afrika....
No comments:
Post a Comment