Tuesday, April 9, 2013

TAARIFA FUPI KUHUSU FAINI NA KIFUNGO KWA WASIOSAJILI LAINI ZA SIMU NCHINI TANZANIA



Hii  ni  taarufa  fupi  toka  TCRA  walipoongea  na  clouds  Fm  kuhusu  watanzania  ambao  hawajasajili  line  zao  za  simu......

Kama  hujasajili  line  yako  ya  simu, Adhabu  yake  ni  kifungo  cha  miezi  mitatu  jela, au  faini  ya  Milioni  5  za  kitanzania  au  vyote  kwa  pamoja
.

No comments:

Post a Comment